Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

Kwakweli mama maana ndio class yetu, na mang'ongo.
Tusubiri na za abood na hood kama zitakuja, lasivyo hakuna tunachoambulia.
Ahhahaha embe ng'ong'o jamani mweee. Nakumbuka zamani tulikuwa tunaenda sabasaba kununua vyangu vya kujipikilishia, bei Mia 3 tu. Sasa usiombe tutakavyotumana kila mtu akaibe kitu kwao tuje tujipikilishe.
 
Hahahaaaa! Umenikumbusha mbali aisee! nakumbuka kuna siku nimtumwa nikaibe sukari ile natoka nanyata nikakutana na mama mlangoni nusura nizimie, nikajikuta namsalimia daaah!!
 
Hahahaaaa! Umenikumbusha mbali aisee! nakumbuka kuna siku nimtumwa nikaibe sukari ile natoka nanyata nikakutana na mama mlangoni nusura nizimie, nikajikuta namsalimia daaah!!
Hehhehe chezea shikamoo ya ghafla
 
Huu ni uongo uliotukuka, dada wa watu katushika wanaume pabaya, sasa watu wanaanza kumsingizia vitu vya uongo

Hebu jiulize swali, dada ameleta uzi asubuhi ya 31/12/2015 akielezea life yake kwa majivuno, halaf masaa machache mbele ajisahau aseme yy ni muuza simu kwenye pm, haingii akilini kabisa, mtu anaweza kujisahau baada ya wiki mbili na sio siku moja au mbili,

Tubadilike tu na tufuate ushauri wa mleta uzi maana tumeshikwa pabaya
Soma vizuri uchunguzi wa Jamaa.....sio Mercy ndo alie jieleza! jamaa mbna kaelezea vizuri sana na anaeleweka Hebu soma vizuri sio kila kitu lazima ubishe

AU WW MERCY UMERUDI KIVINGINE
 
Tunaju imekuuma sana that's why ukaja tena , Lakini mkumbuke nyie dada bila ya kusumbuliwa na wanaume , kupigiwa mirusi mtaani, kuombwa namba yaani hamjioni mmekamilika so wengine tunaomba namba ili kukutoa nuksi mbele ya safari, nyie asilimia nyingi mnapenda kuombwa namba ,kama kweli huna nia ya kutoa chukua namba ya huyo mwanamme tuone

Juzi nlikuwa naelekea maeneo flani nkakutana na sister flani hivi ana weupe amazing nlipoingia tuu kwenye gari nkavutiwa nae nkakaa opposite tukawa tuna make stori akasema yy ni reception hotel moja ubung hap, na mm mlikuwa nimetupia ki mamtoni flani hivi na phone yangu matata, ghafla akaniambia phone yake imegoma kuingia whatsap so anaomba nim setie , daah nlikuwa sina nia ya kuomba namba but naye alijua ,nlipo msetia pale akasema anaomba sim yangu ili atest what sap call kama inaita coz huwa inasumbua xana cjui kwa nn, nkampa simu langu pana bhana akapiga simu yake but alichiuliza ni ""Samahani unafanya kazi wapi vilee""

Acheni kujirahisisha ili muombwe namba

Mxiuuuuuuuuu
 
Superstar ametongonzwa kwenye ndege sio mchezo kbsaaa jamani,amempata mwanaume angani,si ajiite mjane Tuuu Wa Tabu ley na yeye mbili Abelly au
 
Ahhahaha embe ng'ong'o jamani mweee. Nakumbuka zamani tulikuwa tunaenda sabasaba kununua vyangu vya kujipikilishia, bei Mia 3 tu. Sasa usiombe tutakavyotumana kila mtu akaibe kitu kwao tuje tujipikilishe.
Dada mtumishi nakumbuka ulikuwa unakuja kununua viwalo kwenye mitumba pale sabasaba.....!

Umenikumbusha mbali mnoo...!
Kwenye mabasi fulani fulani yalikuwa yanaitwa chinja chinja...

Class yangu ilikuwa JAI na simba mtoto....
 
Hahaaa Magufuli keshapiga marufuku hizo safari so zilikuwa batili. Hako ka gari binafsi lazima kawe used from Japan ndo class zetu hizo tunazojidai nazo. Mdada anaonekana katoka kwenye family chokest baada ya mabadiriko ya maisha kajiona yeye tajiri hahaaaa
 
Stupid..!!! Very stupid and insane..! So unajiona mzuri sana? This is really insane. Period.........!
 
Back
Top Bottom