Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,984
- 95,509
Ahhahaha embe ng'ong'o jamani mweee. Nakumbuka zamani tulikuwa tunaenda sabasaba kununua vyangu vya kujipikilishia, bei Mia 3 tu. Sasa usiombe tutakavyotumana kila mtu akaibe kitu kwao tuje tujipikilishe.Kwakweli mama maana ndio class yetu, na mang'ongo.
Tusubiri na za abood na hood kama zitakuja, lasivyo hakuna tunachoambulia.