Mrejesho na ushauri:

mrsmau

JF-Expert Member
Sep 4, 2016
462
479
Hello mwezi uliopita nlikuja kuomba ushauri humu kuhusu nmekwama kufanyiwa recategorazation sababu nmesoma tax na watu wakanishauri nkamwone RAS sasa kuna mtu alikwenda kuongea na RAS na akasema akipata nafasi ataangalia vizuri kwenye muundo..sasa kiukweli Mimi natamani tu kuacha kazi ila nakosa msaada kwa watu wanaonizunguka hakuna hata mmoja anaekubaliana na Mimi,,maana nawaza je RAS akisema hyo nafasi hakuna kabisa niendelee kuwa mhudumu wa afya milele?no siko tayari na mi hivi kabla sijapata hii kazi nlipata kazi ya data clerk water reed program na kiukweli mshahara ulikuwa mzuri lakni watu wanashauri ni bora niende serikalini lakni serikali yenyewe ndo hii na recategorazation imebuma jamani naomba mnishaur nfanyeje ili hawa watu wangu muhimu wanielewe niache tu kazi na si kwamba hawana uwezo wa kunipa mtaji wanao ila mmoja anaamini kwamba serikalini tu ndo ntafanikiwa(mzazi) mwngne kila siku ananilaumu sana kwa kuacha kazi water Reed maana hakutaka kabisa (mume) lakini hana msaada wowote na huko anakofanya kazi nkimwambia anitafutie kazi anasema kuliko Mimi kufanya kazi mgodini bora tuachane ..jamani Mimi nahitaji kuacha kazi kiroho safiii kabisa maana siwezi kuwa mhudumu wa afya milele never ila ntumie njia gani Hawa watu wanielewe na wanipe mtaji na hata wakikataa mtaji naweza nkapata ila ndo watu wangu wa karbu hawataki nshaurini..watu wangapi wanafanya biashara na wako vizuri tu ..plz mnishauri Mimi kama mdogo wenu nko kwenye mawazo makubwa sana najiona mkosefu kuacha kazi yangu ya mwanzo
 
Mimi ni mwl nina diploma ya procurement nipo mawindoni kufukuzia kubadili kitengo,japo halmashauri niliyopo kuna uhitaji bt kikwazo afisa utumishi,ananibania,dont give up endelea kupambana
 
Hello mwezi uliopita nlikuja kuomba ushauri humu kuhusu nmekwama kufanyiwa recategorazation sababu nmesoma tax na watu wakanishauri nkamwone RAS sasa kuna mtu alikwenda kuongea na RAS na akasema akipata nafasi ataangalia vizuri kwenye muundo..sasa kiukweli Mimi natamani tu kuacha kazi ila nakosa msaada kwa watu wanaonizunguka hakuna hata mmoja anaekubaliana na Mimi,,maana nawaza je RAS akisema hyo nafasi hakuna kabisa niendelee kuwa mhudumu wa afya milele?no siko tayari na mi hivi kabla sijapata hii kazi nlipata kazi ya data clerk water reed program na kiukweli mshahara ulikuwa mzuri lakni watu wanashauri ni bora niende serikalini lakni serikali yenyewe ndo hii na recategorazation imebuma jamani naomba mnishaur nfanyeje ili hawa watu wangu muhimu wanielewe niache tu kazi na si kwamba hawana uwezo wa kunipa mtaji wanao ila mmoja anaamini kwamba serikalini tu ndo ntafanikiwa(mzazi) mwngne kila siku ananilaumu sana kwa kuacha kazi water Reed maana hakutaka kabisa (mume) lakini hana msaada wowote na huko anakofanya kazi nkimwambia anitafutie kazi anasema kuliko Mimi kufanya kazi mgodini bora tuachane ..jamani Mimi nahitaji kuacha kazi kiroho safiii kabisa maana siwezi kuwa mhudumu wa afya milele never ila ntumie njia gani Hawa watu wanielewe na wanipe mtaji na hata wakikataa mtaji naweza nkapata ila ndo watu wangu wa karbu hawataki nshaurini..watu wangapi wanafanya biashara na wako vizuri tu ..plz mnishauri Mimi kama mdogo wenu nko kwenye mawazo makubwa sana najiona mkosefu kuacha kazi yangu ya mwanzo
Yaani wewe ndo ulitokota kabisa!! Ulifanya decision bila kuwa na taarifa sahihi. Au hukuwa na washauri wazuri.
Yaani ulipata kazi walter reed ukaitema kwa sababu ya 'matumaini ya kazi ya uhasibu serikalini? Yaani wewe ulipishana na gari la pesa ndugu yangu!!
Ungeikubali hiyo kazi ya walter reed sa hv ungekuwa umeshasahau shida zako zooooteee!!! Ungekuwa unakula bata tuu!! Pale salary nzuri, safari za kumwaga; Tena data clerk kila siku uko safarini hata huo mshahara usingeugusa. Hata ukipata nafasi ya uhasibu govt, bado kwa kipato humfikii data clerk wa walter reed programe.
Muachage kasumba za kishamba za kufikiri kuwa serikali peke yake ndo inatoa ajira; Muwe mnajiongeza. Halafu sa hivi unalia lia. Next time kabla hujafanya uamuzi kwenye jambo,muhimu Kama hilo do your homework.
Yaani wewe ulipiga teke ndoo iliyojaa pesa haki ya mama!!
Pole sana!!!! mrsmau
 
Asante kiukweli nlikurupuka ,,water reed nawajua maana kabla hawajanpa mkataba nlikuwa nkijtolea hapo na bado nlikuwa nalipwa nlipopewa mkataba ndo na hyo ajira ikaja nkashauriwa nbak serkaln tuseme washaur hawakuwa wazuri nam ckuwa na msimamo najutaaaa
 
Hello mwezi uliopita nlikuja kuomba ushauri humu kuhusu nmekwama kufanyiwa recategorazation sababu nmesoma tax na watu wakanishauri nkamwone RAS sasa kuna mtu alikwenda kuongea na RAS na akasema akipata nafasi ataangalia vizuri kwenye muundo..sasa kiukweli Mimi natamani tu kuacha kazi ila nakosa msaada kwa watu wanaonizunguka hakuna hata mmoja anaekubaliana na Mimi,,maana nawaza je RAS akisema hyo nafasi hakuna kabisa niendelee kuwa mhudumu wa afya milele?no siko tayari na mi hivi kabla sijapata hii kazi nlipata kazi ya data clerk water reed program na kiukweli mshahara ulikuwa mzuri lakni watu wanashauri ni bora niende serikalini lakni serikali yenyewe ndo hii na recategorazation imebuma jamani naomba mnishaur nfanyeje ili hawa watu wangu muhimu wanielewe niache tu kazi na si kwamba hawana uwezo wa kunipa mtaji wanao ila mmoja anaamini kwamba serikalini tu ndo ntafanikiwa(mzazi) mwngne kila siku ananilaumu sana kwa kuacha kazi water Reed maana hakutaka kabisa (mume) lakini hana msaada wowote na huko anakofanya kazi nkimwambia anitafutie kazi anasema kuliko Mimi kufanya kazi mgodini bora tuachane ..jamani Mimi nahitaji kuacha kazi kiroho safiii kabisa maana siwezi kuwa mhudumu wa afya milele never ila ntumie njia gani Hawa watu wanielewe na wanipe mtaji na hata wakikataa mtaji naweza nkapata ila ndo watu wangu wa karbu hawataki nshaurini..watu wangapi wanafanya biashara na wako vizuri tu ..plz mnishauri Mimi kama mdogo wenu nko kwenye mawazo makubwa sana najiona mkosefu kuacha kazi yangu ya mwanzo
ww ccta usiache kazi ya serikali bora ukasoma degree nyingine hata open university utakuwa hujapoteza kitu kuliko kuacha kazi kulikuwa na ccta angu aliacha kazi serikalini kisa kanyimwa ruhusa ya kwenda kusoma sasa hivi amemaliza degree analia tu anasema bora angeendelea tu najua mshahara wa serikali mbovu sana but fanya tu ajira za private hazieleweki
 
Huyu alishatokota. Aliitema kazi ya walter reed programe.
"ajira za private hazieleweki" is a general statement. Katika general statement kama hiyo exceptions huwa hazikosekani, in this case, walter reed ni exception kubwa sana;na yeyote anayewafahamu WALTER REED atakubaliana na hilo. Hata muweka thread anakubali kuwa alikurupuka.
LTN USU WA DEMO
 
Asante
 
Ni kweli
 
Back
Top Bottom