Mrejesho: Maneno ya kejeli ya mume wangu

Pole sana hivi dunia ya leo mwanamke wa nje ni wa kuchanganya mpaka umtende mke yote hayo
Kwasababu umeshapita baraza kesi iko wazi talaka itatolewa na kama Nyumba mliipata mkiwa kwenye ndoa itagawanywa kwa wote ikijumuishwa na mali nyingine mlizochuma mkiwa ndani ya ndoa, kama mna watoto basi itaachwa kwaajili ya watoto.
Dunia itamfunza.

mkuu tumewahi kufahamiana? Kama hatujawahi tunasubir nn? Habar yako greek girl?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom