Mrejesho kuhusu mtu aliyenipenda halafu kanizidi umri

phil78

Member
Jan 12, 2023
47
71
Jana niliweka uzi wa kuomba ushauri hapa kuhusu mtu alienipenda halafu kanizidi umri, ndugu jamaa na marafiki wakasema yao humu kuna walioniita mjinga, walionitukana na wakanisema vibaya ndgu zangu kwanza naomba mtambue.

1. Mimi sijampenda huyo binti ila yeye ndo alinitafuta na kutaka mahusiano na mimi
2. Hata mimi sioni faida ya kumuoa mtu aliyezaaa na sina mpango wa kuoa sasa nimejiwekea mpaka miaka 7 mbele ndo nioe kama nitakuwa hai insha allah

YULE BINTI ANA SIFA GANI??
1. Kwanza amenionyesha wazi ana mapenzi ya kutaka kutafunana tu kwa sababu nilimuongopea sijawahi kufanya mapenzi aliyoona mwili wangu akadata
2. Anaonyesha hajafanya mapenzi kwa mda mrefu; ni kweli aliachika na Talaka alipewa lakin kwa madai yake hajawahi kufanya ana muda mrefu hivyo ananiomba juu chini nihakikishe nakutana nae hata guest tufanye

3. Aliachana na bwana wake akarudishwa Tanzania ;alikua anakaaa nnje ya nnchi na bwana wake wakatibuana akarudisha Tanzania na watoto wake mwisho sahivi anataaabika tu mtaaani
JE UAMUZI WANGU NI UPI

1. Nitaendelea kuchat nae kama kawaida japokua sitaweka akilin chochote
2. Sitakubali kulala nae kwa maaana nilijifanya sijawah kufanya mapenzi ili nimsome nimegundua anapenda kufanya na anasema hata kama nitamuacha etti atahakikisha anakua na mim
3. Siwez na sitaki kukutana nae kwa sasa na hata baaadae ni bora nibaki na wangu nae mpenda ambae nae anasoma japo kwao nilizinguliwa.

YEGE ZIKIPANDA SANA ATAKUA NDO SEHEMU YANGU YA KUZIMALIZIA KWANINI, KWA SABABU YEYE MWENYEW ANASEMA AKINIANGALIA TU ANAONA SOFAI KUA MUME ILA NAFAAA KWA MATUMIZI YA KIBINADAMU.
 
Ushauri wangu wamama watu wazima mliozalishwa na wanaume huko msitufanye sisi vijana kama sehem ya kuwaridhisha sio vizuri kwa maaana imaagine mm na kamwil changu niingie guest na mtu mzima ntaonekanaje?

Pia muache kutamani mtu bila sababu za msingi mkiona mmeachika huko mnakurupukia vijana mwisho hakuna kijana atakuoa na uzee wako kama wew fundi tutakuchezea tu na kukuacha
 
Kama huna mpango achana nae,,,futa kabisa hata mawasiliano,,tofauti na hapo utashusha sana thread kumuhusu.
 
Yaan hata sijaelewaaa, aliye elewa ani eleweshee puliiiiizzzzz.
Ipo hivi, mleta uzi alikutana na mdada facebook wakachat wakaona wahamie whatsApp, basi bhana haooo mpaka whatsApp.

Wakatumiana picha mdada akamuelewa mleta uzi, mleta uzi akala mtongozo. Mleta uzi akamwambia mdada yeye yupo chuo finalist wa Utabibu, mdada akamwambia basi akifunga aende kwake yeye asihofu kuhusu uchumi mdada anajiweza na mdada anataka kijana amuoe.
Kijana akaona isiwe tabu jana akaleta uzi huku kutaka ABC leo kaleta mrejesho ndio huu sasa.
 
Back
Top Bottom