Mrejesho; Kiusalama, Tundu Lissu kumwambia Rais kuwa "ameropoka" ni kosa kubwa sana

"15 jan 2017"
Rais ni Taasisi: Rais ni mamlaka, Rais ni amri jeshi, kauli ya rais ni kauli ya mwisho:

Nimemsikiliza Jana mwanasheria mkuu wa CHADEMA Jana, kasema alivyoweza kusema lakini kuna sehemu kakosea sana tena sana kumwita mteule kuwa "karopoka".

Kwa mujibu wa kamusi, MROPOKAJI ni mtu anayezungumza au kupayuka mambo bila kufikiri.

************************
Mi nadhani wapinzani hata kama kuna nia ya kukosoa naomba tumieni lugha nzuri kukosoa! Kauli zenu zitaliingiza taifa katika machafuko!

Kama Tundu Lisu anasema Rais hana mamlaka ya kufuta magazeti je anasahau kwamba;

1. Ukisoma Katiba ya jamhuri inasema kauli ya rais ikitamkwa haitakiwi kuhojiwa na mtu yeyote?

2. Muswada wowote ili uwe sheria, ni mpaka rais asaini?
3. Kikatiba, ni nani mwenye mamlaka ya kutangaza njaa au hali ya hatari?

Sasa mwenye mamlaka haya na mengine ya kuteuwa waziri wa Habari na vyombo vingine, atashindwaje kufuta magazeti Kwa vigezo Vya kukiuka masharti?

Mtoto asiye na adabu; aweza muita babake mropokaji eti kisa jambo hakubaliani nalo?

Jiandaeni Kumtetea Lissu baada ya mahojiano!
*********************************************************************

1. Kutangaza kuwa rais "karopoka" ni uchochezi kwa kuidhalilisha taasisi na serikali.

2. Nani aliyemruhusu kutangazia umma "BBC" kua Tanzania kuna njaa?

3. Kujipanga kuwatetea watuhumiwa wa uhalifu na wauza madawa ya kulevya.

4. Kuandaa mkakati na kauli za kichochezi.
kwani mkuu si aliapa tu kuwa atailinda katiba lakini alivyoanza kazi alisema katiba anaiweka kando na ndio maana yaliyoko kwenye katiba kayaweka kando mfano mikutano ya hadhara, maamuzi ya kufanya manunuzi bila bunge kuamua, na mengine mengi, sasa kosa liko wapi, akiikwepa katiba yeye na sie tutakwepa,
 
wewe ndo hujui.
Rais ndio Mungu mtu wako wa Duniani. Namaanisha, yeye ndie yupo karibu na Mungu kuliko wewe. kasome mithali vizuri utaelewa, aya na sura sijaishika vizuri ila unasema, "ni ubora wa Mungu katika Kuficha Jambo, na ni umahiri wa Mfalme kuchunguza jambo"

akishaapishwa mbele ya kitabu chochote, na kuapa mbele ya Mungu kuwaongoza watu wake woote, yeye anawawakilisha Nchi nzima kwenye mambo mengi sana. Huna budi kumuheshimu. kuna aya nilipata kusoma katika biblia na quran zinazothibitisha namna ya kumuheshimu mtawala wa nchi.
nikiwa huru, nitawaletea.

Rafiki labda kwako,mimi Mungu wangu wa Pili ni Wazazi wangu maana imeandikwa watiini Baba na Mama mpate maisha marefu na heri duniani,haijasemwa Mtiini RAIS wa Tanzania upate MAisha marefu na heri duniani.

Hawa marais wengine ambao 90% ni Maruhani ndiyo unasema nimwamubudu???Duh una kazi hujui nini maana ya Mungu rudi kwenye mafundisho
 
mtoa mada naomba unieleweshe mm nilieishia dalasa la 7 unaposema kauli ya mwisho ni akuri ya rais inakuaje tuna mahakama na katiba kama kuna mtu ndio kauli ya mwisho?
 
Kwa katiba hii rais ni zaid ya malaika

Uzuri atakapotoka MADARAKANI ndipo atakapoona maovu yake ,na atawalaumu wasaidizi na washauri wake.

Nakumbuka kwenye Kampeni zake alisema ''Naomba watanzania misiste kuniambia ukweli pale nitakapokuwa napotoka na kuvunja sheria na katiba"Leo tunamuona yuko busy kuwagawa watanzania kwa itikadi,ladba aliwaambia wanaCCM kama asipowanyanyasa wapinzani basi wamkosoe,maana in short JPM ni rais wa wanachama wa CCM na si wa watanzania.
 
wewe ndo hujui.
Rais ndio Mungu mtu wako wa Duniani. Namaanisha, yeye ndie yupo karibu na Mungu kuliko wewe. kasome mithali vizuri utaelewa, aya na sura sijaishika vizuri ila unasema, "ni ubora wa Mungu katika Kuficha Jambo, na ni umahiri wa Mfalme kuchunguza jambo"

akishaapishwa mbele ya kitabu chochote, na kuapa mbele ya Mungu kuwaongoza watu wake woote, yeye anawawakilisha Nchi nzima kwenye mambo mengi sana. Huna budi kumuheshimu. kuna aya nilipata kusoma katika biblia na quran zinazothibitisha namna ya kumuheshimu mtawala wa nchi.
nikiwa huru, nitawaletea.
Nan Mungu dunian acha Bangi ww Mungu ni mmoja tu na hapa dunian rais sio Mungu ila anasimamia taasisi mbona unataka kupeana vyeo ambavyo havupaswi kupewa so nawachungaj ni Mungu hizi Bangi tuache yan Mkuu unafananisha Mungu na wanadamu kisa kaapiswa kutumia kitabu cha Maandiko matakatifu kuwa Makin na bang unayovutia choon mkuu
 
"15 jan 2017"
Rais ni Taasisi: Rais ni mamlaka, Rais ni amri jeshi, kauli ya rais ni kauli ya mwisho:

Nimemsikiliza Jana mwanasheria mkuu wa CHADEMA Jana, kasema alivyoweza kusema lakini kuna sehemu kakosea sana tena sana kumwita mteule kuwa "karopoka".

Kwa mujibu wa kamusi, MROPOKAJI ni mtu anayezungumza au kupayuka mambo bila kufikiri.

************************
Mi nadhani wapinzani hata kama kuna nia ya kukosoa naomba tumieni lugha nzuri kukosoa! Kauli zenu zitaliingiza taifa katika machafuko!

Kama Tundu Lisu anasema Rais hana mamlaka ya kufuta magazeti je anasahau kwamba;

1. Ukisoma Katiba ya jamhuri inasema kauli ya rais ikitamkwa haitakiwi kuhojiwa na mtu yeyote?

2. Muswada wowote ili uwe sheria, ni mpaka rais asaini?
3. Kikatiba, ni nani mwenye mamlaka ya kutangaza njaa au hali ya hatari?

Sasa mwenye mamlaka haya na mengine ya kuteuwa waziri wa Habari na vyombo vingine, atashindwaje kufuta magazeti Kwa vigezo Vya kukiuka masharti?

Mtoto asiye na adabu; aweza muita babake mropokaji eti kisa jambo hakubaliani nalo?

Jiandaeni Kumtetea Lissu baada ya mahojiano!
*********************************************************************

1. Kutangaza kuwa rais "karopoka" ni uchochezi kwa kuidhalilisha taasisi na serikali.

2. Nani aliyemruhusu kutangazia umma "BBC" kua Tanzania kuna njaa?

3. Kujipanga kuwatetea watuhumiwa wa uhalifu na wauza madawa ya kulevya.

4. Kuandaa mkakati na kauli za kichochezi.
Kinachonifurahisha ni kwamba Lisu anajua anachokifanya haaa mtakatifu
 
Ukiandika taarifa ihariri kwanza, na useme hayo maneno umepewa na nani, munamuona tundu lissu kila anachoongea kinamantiki.hembu tuheshimu Taifa letu hili , ifikue wakati tusapoti maendeleo sio kukashifu viongozi wetu wa serikali.

kiswahili tu ni tatizo kwako makosa mengine ya kiufundi utaweza kuyaona kweli ni hayo tu.
 
Hapa ukweli lazima TUSEME anachokifanya LISSU ni moja ya PLAN B ya CHADEMA kupamabana na MAGUFULI baada ya hizo plan za MWANZO kuwabumia......SASA HII inapelekea LISSU kufanya mambo ambayo anafahamu kabsa yapo kinyume na KATIBA kabsa au kuvunja SHERIA makusudi ili mwisho wa SIKU akamatwe atafute HURUMA ya wanachi na kuitangazia DUNIA ya kuwa UPINZANI unaonewa kila KUKICHA kwa VIONGOZI wake (KWANZA HAPA SI VIONGOZI bali ni mtu mmoja TU ni LISSU maana yeye kila kukicha ni KUROPOKA ili akamatwe aonekane yeye anaonewa).....
Swali la kujiuliza kwanini HAYA MATUSI ANAYOYATOA LEO hakuweza kuyatoa enzi za JK???......
Pia anashindwa nini KUFIKISHA UJUMBE wake bila kutoa maneno ya kashfa kwa RAISI?????
Na,je ni kweli LISSU hatambui uwepo wa UTAWALA WA SHERIA KWENYE NCHI HII????

WATANZANIA tusiwe watu wakusahau sana.....HUYU LISSU HANA UHALALI WA KUWAITA WENZAKE WACHAFU ILI HALI YEYE MWENYEWE NDANI YA CHAMA CHAKE KUNA UMINYWAJI MKUBWA SANA WA DEMOKRASIA.....UFISADI.....PIA NI MUONGO AMBAYE ANASAHAU NA KUSIMAMIA KUHUSU ALICHO KISEMA JANA.......Mfano mdogo tu.....mpaka leo hii kashindwa kabsa kuja kutupa MREJESHO wake juu ya KIJANA wa watu BEN SANAANE na hiki nikithibitisho tosha ya KUWA HUYU LISSU ana tuigizia MOVIE tu hapa anajua kabsa anachokifanya NI upuuzi AJE HAPA ATUAMBIE KWANZA SUALA LA BEN kalifikisha wapi SIO KILA SIKU KUTUKANA.....mimi hii uwa ina niuma sana

ME NINGEMUONA NI SHUJAA ANASIMAMIA KWELI KABSA JUU YA MATAMKO YAKE KAMA ANGEANZA KUPAYUKA JUU YA NYUMBA YAKE......

Kwani MNYIKA,,SUGU, MSIGWA,MDEE hawapo BUNGENI??????mbna wao hawakamatwi na polisi????????

HITIMISHO.....tuna mtaka aitishe PRESS conference atuambie kuhusu KAULI ZAKE JUU YA BEN alipo potea NA ATUPE MREJESHO JUU YA BEN swala lake limefikia wapi mpaka sasa.......

nawaza tu hiyo kesi ya lissu itaitwaje?
 
Kukosoa hakuhitaji matusi, aliweza kumtukana Nyerere lakini kwa JPM kuingia Choo cha kike.
 
haiwezekani nchi ya kidemokrasia watu wasipewe fursa ya kuhoji mambo mbali mbali..hata hivyo kamata kamata ni tija kwa taifa..tunazama..tunafungwa midomo..na wanaotufunga tunao humu jm
 
Hata Trump ni rais lakini tunasikia anavyopingwa kwa kauli zake hata kwa yale anayosaini na kuyapitisha au Tanzania pekee Rais ni taasisi?
 
upinzani ni mzuri lakini kwa nchi yetu unatumika vibaya.kutaka kuingia ikulu si kwanjia ambazo hata azina miguu
 
Back
Top Bottom