ni kweli anapita kwenye kampeni akisema hivyo! sasa naona anawatukana Warombo maana anafikiria ni Wajinga kiasi ch akutofahamu zimeingia tumboni mwake yeye na familia yake! Yaani huyu mtu anataka ushindi by crooks or hookssource plz,halafu imekaa km udaku vile,mods ipeleke kwenye gossips
hi warombo sasa ni aje wajameni naona mramba keshawadanganya wazee kule kuwa pesa za ufisaji amejenga nazo bara bara ha ha ha, hivi haya ni ya kweli?:tape:
vyoteunauliza au unatueleza?