Waziri Mwigulu anatafuta record ya wakina Basil Pesambili Mramba kwenye Upigaji

SOVIET UNION

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
455
1,283
Yule Mwamba Mramba pamoja na kwamba alishwa twaliwa ila jamaa walipiga pesa enzi zao, yule mzee nina uhakika ana pesa ya ambayo hata vitukuu vya vitukuu vyake vitakula. Mramba walikuwa na Syndicate moja kari sana ya upigaji na enzi hizo pia ndio zile na Ubinagisishaji ulikuwa umepamba moto basi jamaa walifaidi sana.

Sasa namuona Mwamba Mwigulu akigiata nyayo za wakina Mramba na Mwenzake Daniel Yona kwenye upigaji, Mwigulu yuko kwemue Mision Maalumu sana ya accumulation of Capital by any means, na sioni hata Mama akimuondoa pale kwa sababu ni syndicate.

Wakina Mpina watapiga sana kelele ila hazitasaisaidia kitu.
 
Utakuwa umezaliwa mwaka 2000!

..hapana.

..Mramba na Yona walituhumiwa kuingiza hasara ya sh billion 11 kwa kusamehe kodi.

..Magufuli akiwa waziri alivunja kituo cha mafuta Mwanza serikali ikashtakiwa na kuamriwa kulipa sh billion 15.

..Magufuli tena akavunja mkataba kimabavu serikali ikashtakiwa, ndege ikakamatwa Canada, na serikali ikalazimika kulipa mabilioni ya fedha.

..Kwa ushahidi huo ambao uko HADHARANI ndio maana nasema Magufuli alitia hasara serikali kuliko Mramba na Yona.

Makojo
 
wewe kweli joka
 
Kama naliona KOMWE lisilo na Ubongo!

🤣🤣

..utaishia kutukana tu.

..mimi sitajibu matusi, nitabaki ndani ya hoja.

..Mramba na Yona walihukumiwa kwa kutoa tax exemption.

..Na ilielezwa kwamba makadirio ni serikali kupoteza sh billion 10 au 11.

..hayo yalikuwa mapato tarajiwa. Hayakuwa mapato yaliyotoka ktk hazina ya serikali.

..Magufuli alivunja kituo cha mafuta Mwanza bila kufuata ushauri. Mahakama ikatoa hukumu serikali ilipe fidia ya sh billion 15.

..sasa niambie kwa hukumu hizo za Mahakama kuu kati ya Mramba na Magufuli yupi alisababisha hasara kumzidi mwenzake?
 
Back
Top Bottom