Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 51,130
- 22,347
Kweli mungu akiamua kuadhibu anaadhibu na ukoo mzima
hatimae ile sendoff ya mtoto wa mramba,iliofanyika kwa shangwe hatimae harusi kufanyika jumamosi hii wakati mzee akiwa keko
habari zaidi zinasema wanaharusi wote wameamua kupita keko sehemu ya jela anapoishi kwa kumkumbuka mkwewe ,na then msafara utaelekea kwenye ukumbi!!!
Habari nyingine zinasema ,mtoto wa mwisho wa mramba atalishwa keki kwenye harusi kwa niaba ya baba yake
na baada ya hapo!!!!dreva atapeleka kipande cha harusi pale
keko akiongozana na baba wa mume(mr msiba) kwa ajili ya kwenda kumsabahai
mzazi mwenzake!!!! Kweli wacha tuoane wenyewenye kwa wenyewe
pole mzee wangu kila la kheri