Mramba kulia harusi ya mwanae keko hall!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,136
Kweli mungu akiamua kuadhibu anaadhibu na ukoo mzima
hatimae ile sendoff ya mtoto wa mramba,iliofanyika kwa shangwe hatimae harusi kufanyika jumamosi hii wakati mzee akiwa keko

habari zaidi zinasema wanaharusi wote wameamua kupita keko sehemu ya jela anapoishi kwa kumkumbuka mkwewe ,na then msafara utaelekea kwenye ukumbi!!!

Habari nyingine zinasema ,mtoto wa mwisho wa mramba atalishwa keki kwenye harusi kwa niaba ya baba yake

na baada ya hapo!!!!dreva atapeleka kipande cha harusi pale
keko akiongozana na baba wa mume(mr msiba) kwa ajili ya kwenda kumsabahai
mzazi mwenzake!!!! Kweli wacha tuoane wenyewenye kwa wenyewe

pole mzee wangu kila la kheri
 
Acha uzushi wewe. habari yenyewe haina hata mwelekeo. Ukiandika habari isome kwanza kabla ya ku-post
 
Aaaaaaahhhh jamani,si tumeambia hapahapa mawakili wanahangaika kukata rufaa dhidi ya vigezo vya dhamana ili waweze kumtoa nje mshitakiwa leo au kabla ya siku ya Ijumaa kuisha ili aweze kuhudhuria send-off ya binti yake.
Kama ikishindikana wanijulishe tu ili ni mwakilishe Mr.Mramba kuliko wao kwenda kuwaringishia wafungwa hayo mapochocho na wingi wa watu tuu.
 
Tunaambiwa na vipeperushi kuwa PCCB/DPP wanampeleka front Anna Mkapa naye kwa Pilato then watoto wake Mkapa. Sasa sijui kama kuna ukweli mkubwa ktk hili. Wenye nguvu mendeeni hizi nyeti
 
Kweli mungu akiamua kuadhibu anaadhibu na ukoo mzima
hatimae ile sendoff ya mtoto wa mramba,iliofanyika kwa shangwe hatimae harusi kufanyika jumamosi hii wakati mzee akiwa keko

habari zaidi zinasema wanaharusi wote wameamua kupita keko sehemu ya jela anapoishi kwa kumkumbuka mkwewe ,na then msafara utaelekea kwenye ukumbi!!!

Habari nyingine zinasema ,mtoto wa mwisho wa mramba atalishwa keki kwenye harusi kwa niaba ya baba yake

na baada ya hapo!!!!dreva atapeleka kipande cha harusi pale
keko akiongozana na baba wa mume(mr msiba) kwa ajili ya kwenda kumsabahai
mzazi mwenzake!!!! Kweli wacha tuoane wenyewenye kwa wenyewe

pole mzee wangu kila la kheri

Sasa mkuu kwa kuwa unajua kuwa watu wako na mori wa kusikia habari kuhusu hawa mafisadi wewe unaamua kutumia huo mwanya kuandika chochote unachojisikia. Hiyo habari yako inaonekana kama haina chanzo chochote cha maana. Halafu aunaandika eti Breaking Newz.

Hata hivyo mi naona kuwa huo pia ni aina fulani ya ufisadi kucheza na fikra za watu. Tuandike habari zilizo makini siyo tu ukijisikia unaandika chochote.

Sasa Utasikia Mwingine naye ataibuka na Breaking Newz nyingine . Mkapa kakamatwa yuko Keko.
 
Aaaaaaahhhh jamani,si tumeambia hapahapa mawakili wanahangaika kukata rufaa dhidi ya vigezo vya dhamana ili waweze kumtoa nje mshitakiwa leo au kabla ya siku ya Ijumaa kuisha ili aweze kuhudhuria send-off ya binti yake.
Kama ikishindikana wanijulishe tu ili ni mwakilishe Mr.Mramba kuliko wao kwenda kuwaringishia wafungwa hayo mapochocho na wingi wa watu tuu.

Kweli una Kiu! Send off tayari,,, harusi keshokutwaaaaaaaaaaaaaa. haya nakuchagua wewe kamwakilishe Mr Mramba,,,,, ukimaliza harusi ukamwakilishe tena pale keko, lakini hutakaa VIP utakuwa kuleeeeeeeee kajamba nani! Sema kama unakubaliana nikutumie usafiri ama nikupe vocha ya kujaza mafuta pale Mwembechai BP?
 
jamaa kesho nje. Kama ni kweli basi kaamua kwa kususa kuwa kama kweli anashitakiwa, hataki hata hiyo dhamana ili wenye usongo wapate walichotaka. Na sio kweli amekosa dhhamana.
 
Mh, hii kali sana,

atolewe kesho asitolewe, hiyo harusi atasherehekea kama yupo hayupo!

kila mtu atakuwa anamwngalia yeye ukumbini,

Huzuni sana!

NYIE WATOTO WA VIGOGO WAZAZI WENU MAFISADI WAELEZENI, KUWA WANA/WATAWAUMIZA NYIE...
 
Ningekuwa mimi ni Mramba wala nisingetaka dhamana kwa sasa kwa sababu nitaona aibu ya kutizama watu kwenye harusi. Yaani nitaionea aibu jamii, kwani hata sherehe itakuwa ya kifisadi!!! Kaka Mramba wewe tulia huko huko jidai dhamana bado haijakubaliwa kumbe ni fix tu ya kutotaka kuangaliwa na umati wa harusi. Kwanza uko VIP una shida gani??? Angekuwa kule katoa ushuzi nani ingekuwa tabu!!! Si msosi wanapelekewa huko huko??? Ficha aibu kaka!!!!!!!!!

Soooooooorry kumbe nimesahau kuwa Mafisadi hawana aibu!!!!!!
 
inapendeza sana ndio malipo yake hayo mali[po ni hapa hapa duniani jamani mwacheni ndicho alicho kipanda hicho.!!!!!!!!
 
Hivi nao wako kwenye selo za wafungwa wengine au wao wana selo zao za tofauti? maana watu wanapopigia kelele mazingira mabaya ya magereza wanasiasa wetu hawajali maana huwa wanadhani wao hawatafika huko. Chakula je wanakula ugali huo huo na kulala saa nane mchana?:D
 
kabla ya kupelekwa mahakamani aliachwa kwanza amalize sendoff ya binti yake na mahakamani kaja na VX, mnafikiri watamnyima ruhusa ya kuwapo harusini?.
Na hata huko keko mnafikiri anakula ugali mbovu na kulala pabaya?, usikute mkuu wa gereza kapewa jukumu la kupeleka chakula safi, kuandaa chumba safi kwa ajili ya hawa waheshimiwa.
 
Huu ni ushauri tu kwa wanawake wa viongozi wetu, maana kesi hizi za kifisadi washtakiwa wengi (asilimia kubwa ni kina baba). Mama zetu, mnapoona hali za nyumbani kimaslahi zinabadilika ghafla... tafadhalini wapeni simile hao mahusband wenu! Kipato chao mwakijua, hayo mabadiliko ya ghafla muyawekeeni alama ya kuuliza, wakalisheni kitako na muwaambie STOP! sio mnashangilia tu! mwisho wake ndio huu. Mama fulani alilia pale Bungeni Dodoma siku ya Richmond! Msije mkasema laiti ningelijua!!! Muwe na kiasi!
 
send-off ya binti yake.
HIYO TAYARI MKUU ASHAMTOA!!!
JUMAMOSI MPUNGA KAMILI YAANI BOSS MSIBA MWENYEWE HUYO AWEPO ASWEPO JUKUMU LAKE TAYARI WATU WASHAKABIDHIWA......
 
Huu ni ushauri tu kwa wanawake wa viongozi wetu, maana kesi hizi za kifisadi washtakiwa wengi (asilimia kubwa ni kina baba). Mama zetu, mnapoona hali za nyumbani kimaslahi zinabadilika ghafla... tafadhalini wapeni simile hao mahusband wenu! Kipato chao mwakijua, hayo mabadiliko ya ghafla muyawekeeni alama ya kuuliza, wakalisheni kitako na muwaambie STOP! sio mnashangilia tu! mwisho wake ndio huu. Mama fulani alilia pale Bungeni Dodoma siku ya Richmond! Msije mkasema laiti ningelijua!!! Muwe na kiasi!

Mundu,

Ushauri mzuri ila unatekelezeka?
Mshauriwa anaweza kupeleka mabadiliko nyumba ndogo..utayaonea wapi umshauri?
Wengine hawapokei ushauri wa wake zao
Wengine................ labda uwe more practical ili ushauri wako utekelezeke kwa walengwa.
Mfano katika hao watuhumiwa wa EPA kuna aliyeamua kutesa na kimada waziwazi na kukileta hadi home..mama watoto akawa anaishia kumwambia
" unayoyafanya si mazuri..kuna siku utajuta" mama wa watu aliishia kupokea matusi na kejeli hadi siku ya siku.. jamaa alivyotinga mahakamani... akamkumbuka mkewe but it was too late!
 
#2 (permalink) Yesterday, 12:13 PM
mwanjelwa
mwanjelwa is Msema kweli kulingana na muda uliopo.
Breaking news::mramba kulia harusi ya mwanae keko hall!!!!

--------------------------------------------------------------------------------

Quote:
Originally Posted by mr impossible
Kweli mungu akiamua kuadhibu anaadhibu na ukoo mzima
hatimae ile sendoff ya mtoto wa mramba,iliofanyika kwa shangwe hatimae harusi kufanyika jumamosi hii wakati mzee akiwa keko

habari zaidi zinasema wanaharusi wote wameamua kupita keko sehemu ya jela anapoishi kwa kumkumbuka mkwewe ,na then msafara utaelekea kwenye ukumbi!!!

Habari nyingine zinasema ,mtoto wa mwisho wa mramba atalishwa keki kwenye harusi kwa niaba ya baba yake

na baada ya hapo!!!!dreva atapeleka kipande cha harusi pale
keko akiongozana na baba wa mume(mr msiba) kwa ajili ya kwenda kumsabahai
mzazi mwenzake!!!! Kweli wacha tuoane wenyewenye kwa wenyewe

pole mzee wangu kila la kheri

Acha uzushi wewe. habari yenyewe haina hata mwelekeo. Ukiandika habari isome kwanza kabla ya ku-post

USHAONA UDHAIFU WAKO,AMA WAKATI UNALIPIWA ADA YA CHUO ULIKUWA UULIZI PESA ZINATOKEA WAPI!!!???
 
alisema piga ua watu watakula majani ili ndege ya raisi ije

jumamosi tunakula keki ya mwanae !!!yeye akale majani keko hall

halllo halooooooooooo babuu utamu mpakkkkkkkkkkkka keko!!!!

ukipenda kula vya mwenzako babu nawe kubali kuliwa vyako baba mramba!!!!!

harusi njema ,,bado tunakuheshimu kwa kuoza binti
 
Its pity they waited 4 his daughter's send off party but couldnt wait for the actual wedding!
 
Back
Top Bottom