Mradi wa uwanja wa ndege Mugumu

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,219
79,507
Hivi huu mradi umeishia wapi? kuna mtu ana taarifa za huu mradi kama upo au la?
 
hivi huu mradi umeishia wapi? Kuna mtu ana taarifa za huu mradi kama upo au la?

mkuu ni vipi? Mugumu ndo nyumbani?
Kwa kifupi mkuu
1. Ule uwanja ni kama ile barabara ya serengeti, madai yake yanafanana.
2. Wanamazingira wanaupiga vita sana wakiongozwa na kenya, wanadai nyumbu watakuwa hawazai.
- vilevile mimi ni navyo ona yule mzungu anaye jenga ule uwanja mahesabu yake yaani strtategies naona hazijakaa sawa.
3. Na ikumbukwe kwamba kuna link kubwa sana kati ya barabara ya kupita hifadhini na ule uwanja
 
Back
Top Bottom