Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

Kuna nyasi mpya zinaitwa juncao zinafanana na elephant grass ni nzuri sana kupanda kwa ajili ya malisho ya ng'ombe,eneo dogo unalisha ng'ombe wengi kwa mwaka.
Kwa masuala ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, ng'ombe wa nyama,mbuzi na kondoo,malisho,matunzo na biashara ya maziwa, ng'ombe wa nyama na mbuzi nichek.
0756625286.
Japo picha y majani hayo mdau
 
Mimi ng'ombe sisomi kwenye vitabu. Mimi nafuga ng'ombe. I used to 'AI' aiseh hiyo siyo tu ni changamoto lakini hata ubebaji wa mimba kwa mitamba ni inshu. Mfano shamba langu nina majike zaidi ya 10 kila mtaalamu akija kupandisha anataka 20elfu. Na mrija bwana unaweza rudia hata mara tatu ndipo ng'ombe ashike mimba.
Achana na changamoto za kujua yupo kwenye joto au laaah tena wengine wana joto la kisirisiri.

Faida ya dume;
i. Anapanda, na anatambua joto mwenyewe wewe unalisha majani na chanjo tu
ii. Anapanda kwa wakati hivyo kukupunguzia usumbufu
iii. Dume pia hufanya ufugaji kulijua banda lako kinasaba badala ya longolongo za wataalamu maana anaweza kuzisifia mbegu za dume kumbe wala dume hana sifa hizo anazozisema

In fact, your not needed to be mechanical engineer to drive a car.
Dume mzee ni habari nyingine. Huwa anapanda hata usiku ukiamka unakuta habari imeisha
kweli kabisa. Mimi katika shamba langu, nilijaribu mara 3 kutumia AI. Lakini sikufanikiwa. Nilichokipata ni kuchelewa kupata ndamana, maana ilinibidi nimtafute dume. Mwishowe, niliamua kuwa na dume
 
kwa nini usitumie AI
 
Mimi ng'ombe sisomi kwenye vitabu. Mimi nafuga ng'ombe. I used to 'AI' aiseh hiyo siyo tu ni changamoto lakini hata ubebaji wa mimba kwa mitamba ni inshu. Mfano shamba langu nina majike zaidi ya 10 kila mtaalamu akija kupandisha anataka 20elfu. Na mrija bwana unaweza rudia hata mara tatu ndipo ng'ombe ashike mimba.
Achana na changamoto za kujua yupo kwenye joto au laaah tena wengine wana joto la kisirisiri.

Faida ya dume;
i. Anapanda, na anatambua joto mwenyewe wewe unalisha majani na chanjo tu
ii. Anapanda kwa wakati hivyo kukupunguzia usumbufu
iii. Dume pia hufanya ufugaji kulijua banda lako kinasaba badala ya longolongo za wataalamu maana anaweza kuzisifia mbegu za dume kumbe wala dume hana sifa hizo anazozisema

In fact, your not needed to be mechanical engineer to drive a car.
Dume mzee ni habari nyingine. Huwa anapanda hata usiku ukiamka unakuta habari imeisha
uza dume moja nunu mtungi kasome kozi ni mwezi tuh kama sikosei vuna mbegu zako hifadhi fanya AI mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom