Mradi wa nyumba za kupanga wa Dr. Hussein Mwinyi Dar

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
Project
Sea View Apartments

Status
July – December 2007 All detailed designs and bills of quantities completed. Building permit obtained in January 2008 Construction due to start

Client
Dr. Hussein Ali Mwinyi P. O. Box 9380
Dar es Salaam

Description
A 12 storey apartments building with 27 luxurious apartments; 1st to10th floor accommodating 5 duplex apartments occupying the middle, 20 deluxe apartments, two on either side of the floors; the 11th floor accommodating 2 identical penthouses.

Estimated cost
Tshs. 10 billion
 
Attachments

  • Mwinyi H.docx
    291.1 KB · Views: 203
Mbona hiyo doc haifunguki? Pia kuna zile apartment buildings Mikocheni.
 
Watu ni wapumbavu sasa kujenga apartment ndio ufisadi? Ever heard of a F**K*N BANK? Yani hii JF imekuwa choo cha baa..
 
Afadhali yeye anaweza kusema babake kamgea kipensheni chake kidogo!
Hapana. Wote mafisadi. Baba fisadi, mwana fisadi. Si huyu ndiye aliyepewa tender ya kuingiza magari ya kijeshi wakati wa utawala wa baba yake na kuliletea jeshi magari yasiyofaa kutoka Dubai?
 
Hapana. Wote mafisadi. Baba fisadi, mwana fisadi. Si huyu ndiye aliyepewa tender ya kuingiza magari ya kijeshi wakati wa utawala wa baba yake na kuliletea jeshi magari yasiyofaa kutoka Dubai?
Hili sitaki kukomenti lina matatizo ambayo yamepindapinda sana na ukikaa chini unaweza kujiona una majibu ya wewe mjinga! Mhhh
 
Watu ni wapumbavu sasa kujenga apartment ndio ufisadi? Ever heard of a F**K*N BANK? Yani hii JF imekuwa choo cha baa..

Mkuu sasa wewe ndio unaonekana choo cha baa! hapa ni mtoa maada na wewe unayefahamu vizuri mjibu kuwa kwa nini Dr. Mwinyi kujenga hilo jengo sio kuwa ni ufisadi inawezekana kapata mkopo n.k,

Usigeneralise JF yote ebo! ukiona huwezi kumjibu mtoa hoja sio lazima kujibu.

wengine humu usishangae na kutuma post zao na kusoma kwao wapo ambao hawajawahi kushika cash ya Millioni 20! achili mbali tano! anapoona kuna mtu anajenga jengo la Tsh. 10,000,000,000 anabaki anajiuliza how, why na hasa kama ni mfanyakazi wa serikalini na ni kiongozi wa umma!

Please you need to know people and real situation kabla ya kutukana

wewe mwenye nazo ebu tueleze kwa nini unaona ni normal!
 
Watu ni wapumbavu sasa kujenga apartment ndio ufisadi? Ever heard of a F**K*N BANK? Yani hii JF imekuwa choo cha baa..
kaka Pole pole, usipaniki swali juu ya jibu lakini kwa hasira tutakupeleka Muhimbili halafu jamaa wakosee waoperate mguu badala ya kichwa na kichwa badala ya mguu si unajua kitakachokupata pale watakapochezea ubongo wako badala ya mguu?Kwa hiyo polepole kaka jazba zinaua. kama unamihasira unamwaga data kukanusha halafu unajua kingine unachukua ndovu bariiidi sana unajimiminia au unakunywa kinailoni kimoja unaziba mdomo kwa limao ha ha ha just kiding
 
Sasa ufisadi ukowapi?? Hii heading ni defamatory kwasababu hakuna ushahidi.. infact hakuna ata accusation ya maana.. Kujenga apartment ndio ufisadi??? Au kufanya project ya 10million dollars ndio ufisadi? Kwanini alieleta thread hajaongelea funding jamaa katoka wapi..ameconclude kabla hajatoa ushahidi wowote ata theoretical..lol That is too weak and too speculative ndio maana inakera watu wakiandika vitu vya hovyo namna hii. I'm just saying.
 
Mods fanyeni kazi yenu. Huyu mtu hawezi kututukana namna hii!

Sijatukana mtu, I just used an simple analogy to show how sewage like the content that some people put on this forum has become. I'm sure the mods are aware of my good intentions in striking against content that is incompatible with the original spirit of this place, insofar as it defames with prejudicial fashion and lacks the objectivity or as in this case, even a basic decency of discussing subjective opinions in their full scope. :)
 
Kwani kila anayewekeza ni fisadi? Did you check where he got the money?
Banks are nowadays available and they are offering loans. Before you just blame estblish source of funds and hence come with your topic, as far as this is it now, looks myopic!
 
Project
Sea View Apartments

Status
July – December 2007 All detailed designs and bills of quantities completed. Building permit obtained in January 2008 Construction due to start

Client
Dr. Hussein Ali Mwinyi P. O. Box 9380
Dar es Salaam

Description
A 12 storey apartments building with 27 luxurious apartments; 1st to10th floor accommodating 5 duplex apartments occupying the middle, 20 deluxe apartments, two on either side of the floors; the 11th floor accommodating 2 identical penthouses.

Estimated cost
Tshs. 10 billion
Jijipoji...

You deserve a ban, not because Dr. Mwinyi sio fisadi, lakini ni kwasababu bado hujatoa ushahidi kwamba ni fisadi, ulichoonyesha ni kwamba ana apartment... to be rich si ufisadi na to be poor si cleanliness!!!

Ulichotakiwa kufanya ni kuchambua hizo resources zimetoka wapi!!

Najaribu pia kuangalia ana courage gani kuweka jina lake? mbona akina rostam, lowassa wanatumia other names zaidi?? yeye ni mjinga? naive? au vipi?

justify or delete the post
 
waacheni wale nchi kwa raha zao.........mbona hata tukipiga kelele hakuna kinachoonekana kusaidia zaidi ya haya mambo kuendelea kuudhi kila kukicha?
Mi nikisikia kuna maandamano nitafurahi sana.......
 
nadhani utakuwa na kasoro coc huwezi kutukana hovyo hovyo, ni bora ungefafanua kama unalielewa suala hilo ili hata aliyetoa mada ajifunze
 
Watu ni wapumbavu sasa kujenga apartment ndio ufisadi? Ever heard of a F**K*N BANK? Yani hii JF imekuwa choo cha baa..
Wewe embu jaribu kujiheshimu kidogo ili upate kuheshimika,huwezi tufanya wote humu ndani kama ni wapumbavu uliozoea kukutana nao katika hizo baa zako zilizokosa wastaarabu,kuanzia wateja mpaka wahudumu wake,tunaomba uheshimu uwepo wetu na wako humu ndani,mwanaizaya mkubwa wee!!
 
hilo tusi limenifurahisha lakini hukulimalizia....Mwanahizaya usokuwa na haya wala usojuwa vibaya
 
Project
Sea View Apartments

Status
July – December 2007 All detailed designs and bills of quantities completed. Building permit obtained in January 2008 Construction due to start

Client
Dr. Hussein Ali Mwinyi P. O. Box 9380
Dar es Salaam

Description
A 12 storey apartments building with 27 luxurious apartments; 1st to10th floor accommodating 5 duplex apartments occupying the middle, 20 deluxe apartments, two on either side of the floors; the 11th floor accommodating 2 identical penthouses.

Estimated cost
Tshs. 10 billion

mbona mnawapa point akina Chenge jamani?........hebu tuwe waangalifu na hizi accusations hapa JF wakati mwingine.............
 
Back
Top Bottom