Watanzania tumekuwa wapole mno,kila tunachoambiwa tunakubali kirahisi sana,ni kwa nini tunaacha nguvu ndogo na dhaifu kuishinda kubwa?au kuruhusu fikra dhaifu kutawala kubwa.Nchi nyingine hata mkate ukipanda bei kiholela watu wanaingia mtaani.
Ndugu wana JF, Jana serikali ya magamba kupitia jeshi la zimamoto wameanzisha mradi wa kukusanya mihela kwa ajili ya uchaguzi ujao, hapa naambatanisha ninachomaanisha ili wote kama bado hamjaona muone.
My Take.
Hivi kwenye suala la zima moto kipi cha muhimu, sticker au Fire extinguisher? maana naona sasa tutakuwa tunalipia sticker kulingana na ukubwa wa gari yaani CC. halafu wanasingizia kuwa kutakuwa kunafanyika inspection pale fire ndo wakupatie hiyo sticker, jamanii huo si wizi mchana kweupe kweli, Hivi ni huduma gani ambayo tunalazimika kulipia kwa gharama zote hizi kama sio kwa ajili ya hela ya kampeni? hivi huo ukaguzi watakuwa wanakagua nini? why all these forces wakati huu?
Nchi hii ni lini wizi na justification za uongo zitaacha? naomba wazalendo tulipigie kelele hili suala.
nawasilisha
hilo ni eneo ambalo nao fire staff individually watafaidi baada ya trafic polici kuwa wanakuala pekeyao. mimi ninchoshangaa ukaguzi tuu 40k, hakuna msaaada mwingine. let us all say no to this wizi wa mchana.
hivi kwanza hii sheria ilipitia wapi, au ndo kama ya social security funds?
kamtungi kenyewe kanauzwa 15,000, stiker 40,000 kweli serikal mmepania kutubakisha mifupa. Mimi naamini TULIMNUKUU VIBAYA mh Rais wetu MTUKUFU JK, ule usemi wake wa maisha bora kwa kila Mtanzania! Alikuwa anamaanisha maisha BORA kwa kila FISADI.
hilo ni eneo ambalo nao fire staff individually watafaidi baada ya trafic polici kuwa wanakuala pekeyao. mimi ninchoshangaa ukaguzi tuu 40k, hakuna msaaada mwingine. let us all say no to this wizi wa mchana.
hivi kwanza hii sheria ilipitia wapi, au ndo kama ya social security funds?
hilo ni eneo ambalo nao fire staff individually watafaidi baada ya trafic polici kuwa wanakuala pekeyao. mimi ninchoshangaa ukaguzi tuu 40k, hakuna msaaada mwingine. let us all say no to this wizi wa mchana.
hivi kwanza hii sheria ilipitia wapi, au ndo kama ya social security funds?
Corruption is authority plus monopoly minus transparency...
Hicho ndicho kilichofanyika kwani kwa ambao hawakuona hilo tangazo kwa sababu zozote zile walishutukia tu road licence zimepanda na baada ya kuuliza wanaambiwa mambo ya fire.
Sticker ya ukaguzi usalama barabarani TZS 3,000 lakini fire TZS 25,000; 30,000 au 40,000 kulingana na cc za gari. Haya wengi wetu tulishakamuliwa bila kukaguliwa na wala kupewa huduma yoyote.
Tunalipa PAYE, na kodi ya kila huduma au manunuzi utakayofanya lakini hatusongi mbele...
Dah, kweli hii ndiyo bongo!