Mpira wa yanga ubadilike jamani ;aibu itawafwata

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Nikiwa mmoja wa wapenzi wa klabu yetu maarufu dya
nimeona si haba kuwekana sawa wapenzi wa klabu sasa timu inapoelekea ni aibu..yawwezekana ushindi wa sima umeigharimu hapa ilipo ama ni wachezaji vichaa vyao vimejaa upupu kukamata maelekezo ya kocha wao...yaani bado najiuliza maana kama ni hela ni majuzi wamegawana milion 50
sasa sijui walitaka wapewe na ma bibi???

enyi wachezaji embu penden mpira kama nguzo ya maisha yenu...ndio maana leo zamoyoni na wengineo wanakula matunda ya uchezaji wao kwa sababu waliupenda mpira na si just fedha...

kunaitajika marekebisho mapema kabla dhahama aijatutokea wana yanga na hili kama tutalikalia kimya tunaweza pishana na mvua ya mawe....

YANGA IMARA DAIMA
 
Sio Yanga tu, hata Simba, hivi umeona jinsi walivyocheza huko Comoro! utadhani timu ya UMISETA. Bongo tuache kucheza mpira kwenye magazeti na TV, tuonyesha mpira uwanjani. Waandishi wa habari nao wawe wanaandika ukweli, sio kuwavika kilemba cha ukoka wachezaji. Na wachezaji wenyewe sasa wabadilike, waache kujiona wapo juu kumbe wapo hoi. Mtu kama Mgosi kazi yake ni kuikamia Yanga tu, juzi alikuwa choka mbaya!
 
Back
Top Bottom