Mpira Umekwisha Taifa Stars Yasonga mbele.

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,401
Haya mechi iliyokuwa ikifanyika uwanja wa taifa kati ya Taifa Stars dhidi ya Chad imekwisha, timu ya Chad imeibuka kifua mbele kwa goli 1 na Taifa Stars 0,pamoja na kufungwa Taifa Stars inaendelea mbele
 
Hongera stars,ila tunakazi kubwa kwa moroco na ivory coast,hapo hatuna chetu tutakua wasindikizaji kama kawaida.
 
Pumbaf kabisa hawatafika kokote lazima wanyongwe wawe wa mwilo kwenye kundi lao.........Ivory Coast wamepata mdebwedo
 
tumefungwa na nchi ina uhaba mkubwa wa kila kitu... tena nyumbani

Hivi rekodi yetu uwanja wa taifa (mpya) ikoje?
 
Niliwashangaa walioacha kazi zao kwenda eti kupokea vichaa wanaitwa Taifa starz..yani timu inafungwa na Chad kuna timu hapo?!!!
 
Unatakiwa uamuzi mgumu wa kumtimua kocha, ni kheri Maximo arudi, tunaweza kusonga mbele, huyu jamaa unachezesha kweli Machupa? with all the people? hii ni zarau kubwa saana kwa soka ya Tanzania.

Kingine wabongo tuache ushabiki wa vilabu, sasa nia lazima tukubali kuwa Kaseja ni mzigo kwa timu ya Taifa. Tazameni takwimu yake , kila akikaa langoni tunakunywa, sasa ni wakati muafaka tuafanye aliyofanya maximo, alikuwa hamuhitaji kabisaaaaaaaaaaaaa
 
Kaka punguza chuki kidogo kwa kaseja bado number moja na atakuwa number moja,kocha wa chad amesema kilichowazuia kushinda kwao ni goli kipa so punguza chuki kidogo,punguza ushabiki
 
Unajua unaweza kuachana na mwanamke mkatili ukaenda kukutana na kicheche kama sio malaya na kujjuta kwa nini umeingia mbaya umeshafunga nae ndoa ndio imekula kwako hiki ndicho tulicho kifanya janna tumeruka mkojo tunaenda kukanyaaga mavi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom