Mpinzani wa The Super Dar es Salaam Young Africans kujulikana kesho

Kilimbatzz

JF-Expert Member
Feb 11, 2023
9,138
14,558
Timu zilizoingia robo fainali kombe la CAF CC ni:

1)Asec Mimosa-Cote d'Ivore

2)Rivers United-Nigeria

3)Marumo Gallants-South Africa

4)Young Africans-Tanzania

5)AS Far Club-Morocco

6)Pyramids-Egypt

7)US Monastrienne-Tunisia

8)USM Alger-Algeria

Kuna timu nne za Juu ya Jangwa la Sahara na nne za chini ya Jangwa la Sahara
Je,ni nani ataangukia mikononi Mwa mabingwa wa kihistoria wa Tanzania!?

NB:
Rivers waombe wapishane na kikombe Cha Yanga,wakikipata ni lazima tulipe kisasi
Screenshot_20230404-140821.png
Screenshot_20230404-140847.png
 
Kiukweli kabisa ninamuomba sana Mungu timu zetu zivuke hiyo hatua au moja wapo tu hiyo kuishia hapo hapo kila competition huwa jau na sisi tuweke heshima.
Simba apate timu ngumu hasa waarabu Ili amunyooshe Ili wapaogope Tanzania
 
Simba apate timu ngumu hasa waarabu Ili amunyooshe Ili wapaogope Tanzania
Kama huo uwezo wanao ni vyema wakafanya hivyo. Sasa utaendelea kuziogopa mpaka lini? Sasa ukihofu hao huo ubingwa utauchukua, ukiona huvuki hapo kila uchao jua wewe bado hivyo ni kutazama wapi unafeli.
 
Acha tusubirie wa kwetu kesho
 
Kwa waliofeli vilaza la Saba F, vipi mumeo Simba yupo kombe gani Africa
Kabla sijakujibu

Simba hajawahi kuwa mume wa mtu yeyote

Nakujibu Kwa hii miaka mitatu mfulukizo Simba amekuwa kibonde wa Yanga
Hivyo mume wa mwenzie hapo ni Yanga
 
Back
Top Bottom