Mpigie kura Alikiba hapa katika tuzo za MTVEMA

Acha nimpe kura yangu, namkubali sana kiba hata asipileta ushindi yeye tayari ni mshindi, .
 
Mkuu acha chuki kuwa mzalendo
Sipendi kutofautiana sana na mawazo yenu! Je mmewahi kujiuliza inakuwaje mtu uwezo wake mdogo lakini anashinda tuzo?
Je kupiga kura mara nyingi uwezavyo ni kipimo sahihi cha kumpata mshindi?
Je kupiga kura kwa niaba ya mwingine bila ruhusa yake ni halali?

Waungwana tubadilike matokeo halali ni kwa kula yako moja tu!
 
Kwa Yale ulofanya kwenye Tuzo za Mtv na Bet! Simpigii kura Kibakuri! Wacha Uzalendo uanzie kwako mwenyewe!!
 
Malaya tu kibakuli hana lolote
Kwani yy ndio wakwanza kuwakilisha taifa?
Kwan domo alikua anawakilisha kabila??
Mamaae na alibeba kibishi sura zikawafubaa
 
olamide-6-jaguda.com_.jpg
Nishapiga kura..!
Olamide 4 [HASHTAG]#Mtvema[/HASHTAG]
Bado Sneh...

Olamide-Bobo-Pic-Art2(2).jpg
 
Hivi unaweza uka wapigia kura wote!!?
Naombeni nijue maana nataka nitende haki hapa
 
Una kumbuka hii post, ngojea nikuonyeshe ulivyochangia Shardcole huko chini ndio ulivyochangia je na wenzako wakufanya kama ww utajisikiaje, hujui sisi watz tumekuwa shaped na usimba na uyanga, nazani uliona mazembe walicheza na yanga, simba waliwasupport yanga, sasa nyinyi ndio mliozipalilia hizi timu, na ndio maana nilikuambia ww hustaili kufungua huu uzi kuhamsisha watu wampigie kura kutokana na UPUUZI na UPUMBAVU wako na najua watu wengi wa upande wa pili watampigia wizkid, kama nyinyi mlivyompigia, Kuna maswala tunatakiwa tuwe wa moja kama tunavyofanyaga big brother
View attachment 409099
Daaah
Huyu jamaa kumbe ndo alivo

Akichukua Kiba ataleta fujo sana huyu!!!
 
Back
Top Bottom