Mpenzi Wangu Ananiumiza kichwa....!!

Kwa hali hiyo lazima uwe maige tu kila dili mbele yako unatumbua tu fanya mchezo kumtunza baby nini
 
mabinti sampo kama hizi ndo uwa nawanywea viroba na valuuu... inapotokea game. anatapika hela zoote. kulaleiki..
 
Back
Top Bottom