Mpenzi wako amekusevu kwa jina gani katika simu yake?

Akisemacho mtu ndio kilichoujaza moyo wake

you know wht am talking about??
 
Ni vyema ukasave kwa jina ambalo mmekubaliana tofauti na majina yenu halisi au yanayoashiria mahaba mfano honey,darling,mpenzi etc.
Madhara yake ni makubwa pale unapopoteza simu na kuokotwa na mtu asiye mwema
Hii niliikuta kwenye net.jamaa alipoteza/ibiwa mkoba na simu na namba ya mkewe aliisave "wife" aliyeokota/iba alikuta pamoja na kadi ya benk,hivyo alichokifanya alituma ujumbe mfupi kwa "wife" kwa kutumia simu ile aliyoiba kwamba anaomba amkumbushe namba za siri za ile kadi ya benki.
Mwanamke bila kusita akatuma namba na jamaa akajichukulia vijisenti kiulaini.
Kuwa macho
 
LOL!! People are very technical eeh!!! Hii mada sasa ndio inaleta point ya msingi na mafunzo yaliyokusudiwa. Congra Shaycas kwa case study nzuri
 
Mie Gf wangu jana tuligombana,so usiku nikawa na kazi ya kumrudisha kweye mood na nimefanikiwa,nilipoiona thread hii nikaanza kuiwinda simu yake nione amenisave vipi baada ya kurudishwa kwenye mood,nimekuta amenisave MY DREAMZ
 
Me nimemsave "BAJAJI"
SI unajua bajaji inavyokupa upepo kama AC vile basi na mpenzi wangu huwa ananipa raha kama upepo wa Bajaji.
 
Siwezi kusave jina lake mimi kama mimi kinyakyusa nimemsave (SKAFUNJE )mnyakyusa anaelewa maana yake
 
Mimi namba zake zote zipo kichwani, so sihitaji kusave. Nilipata fundisho one niliibiwa simu wakamtumia msg wife eti nitumie elfu kumi kwenye simu. Mshikaji wangu naye aliibiwa hadi wallet wakachukua ATM wakamtumia mke wake msg eti nitumie password nimeisahau, wife akatuma wakakomba vijisenti vyote kwenye ATM.
 
Hili kweli somo. Ngoja nidiliti hili jina MY WIFE kwa foni afu niandike ZOMBE badala yake
 
Mimi namba zake zote zipo kichwani, so sihitaji kusave. Nilipata fundisho one niliibiwa simu wakamtumia msg wife eti nitumie elfu kumi kwenye simu. Mshikaji wangu naye aliibiwa hadi wallet wakachukua ATM wakamtumia mke wake msg eti nitumie password nimeisahau, wife akatuma wakakomba vijisenti vyote kwenye ATM.

Ndio maana hata wanashauri umsevu kwa jina lake. Lakini pia kumsevu kama wife inasaidia kama ukipata ajali na wasamaria wema na polisi wakitaka kumpigia mtu wako wa karibu, wanachoangalia kwenye simu yako ni kama kuna mtu umesevu kama wife, darling, sweertheart na kadhalika. Kwa hiyo kuna hasara na faida zake!
 
Kwa sie wenye mashosti kuna hatari kama shiogako amekuwa akimmendea shem wake basi ah anaomba simu atume sms kwa ndugu yake kumbe anatafuta namba ya mr wako.
 
Mmmhh!! Halafu anaanzaje kumtongoza mume wa shosti wake? :)
 
weeeee Masaki usijifanye hujui!!!! ataaanza tu oooh shem hivi shem vile. mara btw nimekumis shem wangu ....sijui ninii niniiii.......
 
Hahahaha!
Ndo mnavofanyagae?
Haya, TUENDELEE. At least nimeshajua si vibaya sana.
 
shauri yako.....hahaaaaaaaa

biggy hivi mama Matesha akiona umemsevu kam Zombe wat wil b ze justification????
 
Back
Top Bottom