Mpenzi wako amekusevu kwa jina gani katika simu yake?

Mtu jina lake linaandikwa kama lilivyo tena na la baba yake kabisa kumtofautisha na wengine wenye jinakama hilo. Hakuna vyeo kwenye simu yangu, kwani ni simu ya shirika? Maswali ya mbona mbona sitaki, hivyo vyeo feki tuitane mdomoni

jamani wewe yaani mkeo unamsave kama Chiku Binti Athuman or ??
 
Mie wangu ki ukweli ana vilaini Vitatu
Nimesave kama ifuatavyo
Husband ,sweetest husband ,and Honey
bahati mbaya ikaibuka line ya nne ya emergency mahali alipokuwa kwa muda mfupi nikasave jina la hiyo sehemu
eeh kutahamaki siku moja naulizwa yaani mie unanisave kama (....)
 
Kuna mtu aliomba simu ya rafikiye mpigie demu wake akakuta rafiki kam-save yule demu kama KIFANYIO


Jamani mpaka sasa mbavu zinaniuma. Kuna watu hawajatulia kabisa. Ngoja na mimi nianze utafiti wangu.....
 
wangu nimemsave puddin'

kuna wakati nilukuwa sitaki kumuona nikamsave SOB....jijazie!!!!
 
Kuna mama mmoja aliamua kucheck amesaviwaje kwenye simu ya mumewe akaamua kuibip likatokea jina 'najuta'. Mie haya hata siyataki. Jina lake linanitosha au ikizidi sana basi itakuwa Mr.
 
teheteh sio kwamba ndio nimemsave ivyo pangechimbika.wengi wanaosave wapendwa wao majina mabaya wamewachoka
 
Mie nimemsave kama, darling, hubby, yeye kanizave kama princess, na ingine wifey
 
Back
Top Bottom