Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 159
Kwako Mpendwa Rais,
Awali ya yote naomba nikupongeze kwa kuweza kukubali kutengenisha siasa na sheria hasa katika suala la EPA,umeweza kuwapa watanzania Raha ambapo wengine kama mimi na mwanakijiji tunaona kama raha ya muda tu na wengine kama zitto wanataka mwafaka wa taifa ila kumaliza matatizo yote yanayotukabili.
Sipendi kukosha na maneno mengi sababu najua una mambo mengi unataka kufanya kwa ajili yetu siye masikini tusioweza hata kupata mlo mmoja japo wapo wana majumba yana thamani ya bilioni tatu.
Najua utakuwa umepata ushauri mzuri toka kwa watu mbali mbali,ila mie naomba jambao moja utusaidie ili tuweze kusherkea sikuku ya uhuru vizuri.
Imetosha kuendelea na watu wa namna hii,kuwa afisa mwandamizi isiwe tija ya yeye kutofikishwa mahakamani.
Baba ,mwenyekiti ,mkulu Naomba na kukusihi sana mkuu amuru DPP amfungulie mashataka Afisa Mwandamizi Ngowi na hii ni kwa maslahi ya nchi yetu na kurudisha imani kwa wananchi.Mkuu naomba sana ufanye hili mapema na kwa kweli kabla hatujasherekea siku ya uhuru.
Naamini utasikia ombi langu na watu wote hapa chini kwa majina wameniunga mkono.Mkuu nakutakia kazi njema na mandalizi mema ya mapumziko yako ya mwaka.Najua mwaka huu hautaenda mbugani tena kama mwaka jana na utakuwa na mkaramba P mkipitia shida zetu wananchi na kuangalia jinsi ya kuzitatua kwa mwaka ujao
kama nimekukwaza naomba unisamehe sababu binadamu wote siyo wakamilifu na wana mapungufu yao
wako,