Mpelelezi wa kesi ya Thabo Bester “Mbakaji wa Facebook" akutwa amefariki

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Jeshi la Polisi la Afrika Kusini limethibitisha kutokea kifo cha mpelelezi huyo mkongwe anayefuatilia kesi ya Thabo Bester anayetuhumiwa kwa mauaji na ubakaji akijulikana kwa jina la “Mbakaji wa #Facebook"

Muda mfupi kabla ya kufikwa n amauti, Brigedia Jackson Mkhaulesi (59) alihudhuria Mahakamani ambapo mpenzi wa Bester, Dkt. Nandipha Magudumana alikataliwa ombi lake la kuwa alikamatwa Nchini Tanzania kinyume cha Sheria.

Polisi wamesema wanachunguza kifo cha mpelelezi huyo anayedaiwa kuwa alikuwa mwaminifu na mwenye uzoefu wa miaka 31 kazini, ambaye alikutwa kwenye gari yake akiwa ameshafariki

Mtuhumiwa akiwa gerezani, alitengeneza uongo ionekane amefariki Mwaka 2022, alikamatwa Aprili 2023 Nchini Tanzania akiwa na mpenzi wake inayedaiwa alimsaidia kutoroka.

==================

Top South African investigator into rapist's escape dies

South African police have confirmed the death of one of the lead investigators into the daring prison escape of rapist and murderer Thabo Bester.

Police said they were investigating the circumstances around the apparent death by suicide of 59-year-old Brigadier Jackson Mkhaulesi. He was found dead in his car on Monday.

Earlier in the day, he attended a court hearing where Bester’s girlfriend, celebrity doctor Nandipha Magudumana, lost her application to declare her arrest in Tanzania unlawful.

News of Brigadier Mkhaulesi's death has sent shockwaves around South Africa.

The police detective with 31 years of service has been described as a hardworking and loyal officer.

Bester is known as the “Facebook rapist" for using social networking sites to lure his victims.

He faked his death to break out of prison last year. He and his girlfriend, who is accused of helping him escape, were arrested in Tanzania in April and brought back to South Africa to face justice.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom