Mpango wa matajiri kuiteka Ikulu washika kasi: Lowassa akutana na matajiri Kibo Palace Arusha!

HEKIMA KWANZA

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
2,942
3,935
Baada ya kuonesha 'jeuri' ya pesa siku ya kutangaza nia, sasa Lowassa anakutana na wafanyabiashara wakubwa toka Kanda ya Kaskazini kwa lengo la kukusanya pesa. Mkutano unafanyika katika Hotel ya Kibo Palace, Arusha na kwa taarifa zilizopataika ni kwamba tayari kiasi cha Shilingi bilioni 9 zimeshaahidiwa na wafanyabishara hao. Bado Ikulu ni mahali patakatifu?
 
Acha usengeni wewe muda Huu Lowassa yuko Monduli anafanya ibada na wachungaji Wama project imefail
 
Lowassa anafanya biashara ya urais hali hii ni mbaya sana.
 
wazee wa kuwinda tenda za serikali at work, ila sawa si wanatumia fursa
 
Tatizo ni kwamba mnaleta mno ant-Lowasa humu. Tafuteni mengine zaidi yenye uwezo wa kumuondoa kwenye kinyang'anyiro wala si haya ya kitoto hivi. Siasa za maji taka si za Tz ya leo. Ule umati wa jana uliwatia kifafa naona Miye si pro EL lakini ila kwa mtindo huu mnao utumia kumpinga, sidhani ka tutafika mbali hata kidogo.
CCM imeshajifia yenyewe a very very natural death na mazishi yatakuwa mapema kuliko tulivyokuwa tukitegemea Oktoba. Yaweza hata kuwa August.
 
Baada ya kuonesha 'jeuri' ya pesa siku ya kutangaza nia, sasa Lowassa anakutana na wafanyabiashara wakubwa toka Kanda ya Kaskazini kwa lengo la kukusanya pesa. Mkutano unafanyika katika Hotel ya Kibo Palace, Arusha na kwa taarifa zilizopataika ni kwamba tayari kiasi cha Shilingi bilioni 9 zimeshaahidiwa na wafanyabishara hao. Bado Ikulu ni mahali patakatifu?

Tupe chanzo cha tarifa yako na twekee picha za kikao hicho
 
Back
Top Bottom