Mpangilio mzima wa Sherehe za Uhuru wa Tanzania Washington Seattle

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=2]Saturday, November 24, 2012[/h][h=3][/h]


Kwa niaba ya Uongozi wa Tanzaseattle Ndugu Amin Dola. (Public Relations.
Tanzaseattle/Mayor wa Seattle. 206 422 3050


Tunawatangazia waTanzania wote na Jaama/maarafiki wa
Seattle wa Portland na Majimbo Jirani.


Mnakaribishwa kwenye sherehe yetu, tutakua naye Mwana Mitindo Maarufu kutoka Tanzania
Bibie Asia Idarous, kuuonesha mavazi yake kabambe ya kisasa,kimila E.T.C.


Kwa taarifa zaidi wasiliana na:-


Ndugu...K.Mapana (Katibu mkuu 206 890 4465 ,Ndugu Yona
(Mwenyekiti... 425 590 9292)


Ndugu J.Mkudde (Mueka hazina. 206 499 7054
Ndugu Fatma Al Tamim. 206 225 7534.


Nyote Mnakaribishwa

534749_10152269936105247_633643908_n.jpg



Posted by Ebou's at 9:50 PM
 
Mimi nauliza katika kumbukumbu za uhuru, tanzania imepata uhuru wake lini? Na uhuru huo kutoka wapi?
 
Mimi nauliza katika kumbukumbu za uhuru, tanzania imepata uhuru wake lini? Na uhuru huo kutoka wapi?

hahahaha.neno tanganyika watu wa bara hawalipendi hata kidogo kuna baadhi ya viongozi wanasema tanzania imepata uhuru 1961.ndugu zangu watanganyika lipendeni jina lenu.
 
TANGAANYIKA kwa kutafuta ujiko hatujambo kama sherehe za hapa nyumbani uwanja wa taifa watu wanakauka makoo hakuna hata maji lakini kwa vile iko huko majuu basi kuna freefood na makorokoro mengi kwa nini msiwe mnavitoa hapa nchini kuwashukru raia kuitunza hiyo Tz yenu kwani ndo wanajua machungu wanayopata kwenye huu msalaba walioubeba a.k.a Tanzania.Mnaniudhi mimi:A S angry:
 
jamani mimi nilikuwa nataka kujuwa tanzania ilitawaliwa na nani? na ilipata uhuru mwaka gani? jee tanzania si lizaliwa 1964 aprill ? wanajamvi naomba kujuwa haya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom