Mpambano wa CHADEMA na CCM uanzie hapa

viongozi wa cdm wana ridhaa ya wananchi,viongozi wa ccm hawakupata hata kura 10 maneno ya RAZA kada wa ccm sio mimi
 
mkubwa!..hii nimeipenda sanaHii safu ya Chadema inatisha sana ile mbaya,kama nisehemu tunaenda kuchimba mwamba ina maana upande mmoja(chadema)wanamitambo mizito ya kudrill,wakati upande wa pili (ccm) wana panga na jembe.

Kwanza kumlinganisha Dr Slaa na Mkama ni kumdhalilisha Dr.Slaa,kumlinganisha mkuchika na zitto ni sawa na hujamtendea haki zitto kwanza umemtusi,kumlinganisha mnyika na nape,ningekua mimi ni Mnyika leo hii ninge aga dunia,kumlinganisha mbowe na JK,ni sawa na uchukue scania 113 ukaipakie kwenye toyota mak II
 
Mimi naona Kikwete ni bora kuliko Mbowe
Kwasababu zifuatazo:-
1. Kwa hali halisi wala sio ushabiki kikwete amefanya mambo mengi ya nchi kuliko Mbowe.
2. Kikwete anabusara kuliko mbowe.
3. Kikwete anaexperience ya Uongozi kuliko Mbowe
4. Kikwete yuko Social kuliko mbowe
5. Kikwete hana Lugha chafu kuliko mbowe

Kuna mambo mengi tu ninge weza kusema lakini kwa ushabiki mtasema sijui boga na jiwe, obama na shibuda.
Hamko sahihi huo ni ushabiki usio kuwa na tija.
 
Mimi naona Kikwete ni bora kuliko Mbowe
Kwasababu zifuatazo:-
1. Kwa hali halisi wala sio ushabiki kikwete amefanya mambo mengi ya nchi kuliko Mbowe.
kafanya mengi ya nchi!...emu tufafanulie,maana kuna weza kukawa na mengi mabaya au mengi mazuri,Naomba unitajie mengi mazuri aliyoyafanya ambayo ni manufa kwa wananch hasa wenye maisha duni ambao ndio tuko wengi
 
kama ni timu ya mpira ni sawa kulinganisha FC Barcelona/Man u na JKT Oljoro/Faru Dume ya Sinza
 
huwezi kulinganisha Miamba na Matope
milima na vichuguu
bahari na madimbi
bwana wee mwenyewe unajua NIVUTE CCM imebaki na madebe shinda period
 
kafanya mengi ya nchi!...emu tufafanulie,maana kuna weza kukawa na mengi mabaya au mengi mazuri,Naomba unitajie mengi mazuri aliyoyafanya ambayo ni manufa kwa wananch hasa wenye maisha duni ambao ndio tuko wengi

Tuacheni ushabiki wa vyama. Tafuta historia ya kikwete ulinganishe na ya mbowe.
 
Teh'teh nimeipenda sana hii, umewaza mbali sana maana sijaona kiranja yeyote wa CCM atakayewafikia viongozi wa CDM hapo juu, hao wa CCM ni VIRANJA tu ambao hawawanyimi wakuu kufanya kazi maana CDM ndio wanaotoa maelekezo VIRANJA wanatekeleza. Big up sana.
 
Achana na mambo mengi,kama una historia yake nitajie walau kitabu au makala au maandiko aliyoandika jk kwa fikira zake ukilinganisha na mbow.
 
Back
Top Bottom