Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,060
mi best man bana!!!...Lazima nihakikishe kuwa kila kitu kipo in order!kwenye ukoo wetu huwa hatuzeeki kihivyo bana,at 60 huwa tunaonekana ni wa 40's! halafu Rejao kwa nini anatufuatilia sana mazungumzo yetu,kunani?