Mpaka uzeeni...

kwenye ukoo wetu huwa hatuzeeki kihivyo bana,at 60 huwa tunaonekana ni wa 40's! halafu Rejao kwa nini anatufuatilia sana mazungumzo yetu,kunani?
Mmmmh, itabidi unitambulishe kwa babu yako ili nipate ushahidi.

Muulize. . . .
Alafu mkichakachua hii thread kwa kutoka nje ya mada mnalo.
 
Bado uko kwenye mada kwahiyo endelea. . . ila ukitoka nikipata nguvu ya kuREPORT ABUSE mtanichukia wenyewe.
turudi kwenye mada:
on my bended knee:
will you,Lizzy,take me Bishanga Abashaija,to be your lawful husband,love,honor and cherish me in hunger and plenty,in health and sickness,nikipigwa ban au bila ban,until death do put us apart?
Nimejiwekea muzzle ya bastola kichwani mwangu nasubiria jibu lako!
Should i pull or not pull?
 
turudi kwenye mada:
on my bended knee:
will you,Lizzy,take me Bishanga Abashaija,to be your lawful husband,love,honor and cherish me in hunger and plenty,in health and sickness,nikipigwa ban au bila ban,until death do put us apart?
Nimejiwekea muzzle ya bastola kichwani mwangu nasubiria jibu lako!
Should i pull or not pull?

PULL.
But please try not to leave a mess ehhhh.. .
 

Kutoka........
young-black-couple1.jpg

....mpaka.....
black+couple+old.jpg
Leo kuna mwalimu wetu ametuambia ushauri aliopewa kuhusu ndoa , na nani?Hakutwambia.
Neway ushauri wenyewe unasema hivi ''KAMA UNAWEZA KUMWONA HUYO ULIYENAE AKIKUFUNGIA VIFUNGO VYA BLAUZI UZEENI WAKATI WEWE HUWEZI TENA, BASI HUYO NDIE''.Kwahiyo kama unaweza kuona mkiwa pamoja miaka mingi baadae, wakati nguvu za kufanya mambo unayofanya mwenyewe huna tena na mwenzako akikusaidia basi ujue umempata mtu ambae anakufaa, moyo wako umemkubali.

That got me thinking, hivi ni wangapi waliopo kwenye uchumba na walioingia ndoani tayari wanafikiria hata kuwa pamoja na wenzi wao miaka minne mitatu mbele huku wakiwa na furaha? Hapo ulipo, unamwonaje mwenzi wako,Akizeeka, au hata akipata matatizo tu ambayo yatamfanya akutegemee wewe kwa kiasi kikubwa will you be there for him/her completely?No regrets or complaints? Utamsaidia kwa fahari? Au ndio utatamani Mungu amchukue mapema???

I hope the answers are YES, DEFINATELY, ABSOLUTLY NO REGRETS, YES and GOD NO!
Kama sio pole kwa kuwa kwenye ndoa na mtu ambae hajaziteka hisia zako kikamilifu. Naomba Mungu wale ambao bado wapo wapo siku wakiamua kuuga ukapera watatafuta watu ambao wanakubalika mioyon, nafsini na akilini mwao ili wimbi wa ndoa zinazovunjika ama zile zinazozaa manyanyaso/dharau/udanganyifu na mengineyo yapungue.


hii imekaa ki europe zaidi..
kiafrika watu hujali zaidi watoto....
watoto ndo hutegemewa zaidi kusaidia wazazi wao watakapo zeeka...
 
Wote mliochangia kuhusiana na thread orijino sijadharau mawazo yenu, ntajibu zote zinazohitaji kujibiwa kichwa kikiacha kuniuma.
 
Wote mliochangia kuhusiana na thread orijino sijadharau mawazo yenu, ntajibu zote zinazohitaji kujibiwa kichwa kikiacha kuniuma.
ukimaliza ku respond post za wadau rudi kwenye mada yetu,bastola naiweka chini kwa muda.Ngoja nikamate henken moja.
 
hii imekaa ki europe zaidi..
kiafrika watu hujali zaidi watoto....
watoto ndo hutegemewa zaidi kusaidia wazazi wao watakapo zeeka...

The Boss hapo la kujiuliza bado hao watoto watawakuta baba yao na mama yao wakiwa pamoja
Au kila mmoja atakuwa kwake
Maana watoto malezi yao na makuzi ni uwepo wa wazazi wanaowajali
Sasa kama baba na mama washaachana zamani hizo unategemea nini mkuu
 
Ni maneno mazuri saana hasa kama yangekua yanawezekana.... Lizzy dear... Haya ni mafundisho kuhusiana na ndoa ambayo miaka nenda rudi hayabadiliki, ni maneno ambayo yametolewa kama muongozo wa watu kujua/kutafuta ama kupata mchumba; Pamoja na yale ya jinsi ya kuhakikisha unampata mtu ambae anafaa kua mwenza mara nyingi ikisukwa na dini.... Uzuri ni kwamba pamoja na kusema dini zatofautiana, katika mambo kama haya zafanana sababu culture plays it role hasa with its elements katika marriage institution.

However hayo mafundisho hayajazingatia kubadilika kwa maisha na life circumstances.... Most importantly hata watu wenyewe.... Kijana wa leo sio kijana wa kale... Walau wanaume kidogo wapo constant (thou nao wapungua at a pace kubwa) kuliko wadada. Hii inafanya kua vijana wanapo kutana... Hope ya kusema watafika hapo kwenye picha toka ujanani ni very minimal.... Labda waje waoane utu uzima, kila mmoja aliachika na kupata second chance....


Lizzy na Ashadii mko right kabisaa...ni kweli asha wengi hudumu kutokana na second chance laki source ukiichunguza utagundua kuwa katika ujana ndoa nyingi huja kwa shinikizo fulani, either sex matters/domestic duties matokeo yake mtu akishakuwa fedup upendo unakuwa wamashakamashaka, but issue sio mafundisho ya ndoa, wala sio uaminifu, wala.... issue ni wapi umeupata msukumo wakuoa/kuolewa? Ule msingi.....wakuguswa na jambo hilo hadi kuwa victim... Maana ndoa za siku hiz zipo kifacts sana
 
Back
Top Bottom