Mpaka sasa vifo vya watu 17,997 vimeripotiwa Gaza, je HAMAS palikuwa na huu ulazima?

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Uchokozi wa HAMAS kwa Wayahudi ulikua na ulazima wowote? Hivi vifo vingeepukika, na bado wanaendelea kufa...

The Palestinian death toll from the ongoing Israeli attacks on the Gaza Strip has climbed to 17,997 since Oct. 7, the Health Ministry in the enclave said Sunday.

Speaking at a press conference, ministry spokesman Ashraf al-Qudra said 49,229 other people were injured in the Israeli onslaught on the blockaded territory.

According to the spokesman, two women were killed and dozens injured in Israeli bombardment of the Kamal Adwan Hospital in the northern Gaza Strip on Sunday.

The Israeli army launched relentless air and ground attacks on the Gaza Strip following a cross-border attack by Hamas on Oct. 7.

The Israeli death toll in the Hamas attack stood at 1,200, according to official figures.
 
Nadhani tunawalaumu tu IDF kwa vifo ,ni ngumu sana kupambana na Hamas sababu wanaishi na watu mitaani na kwenye mikusanyiko ,hawana alama na hichi ndicho huwa kinafanya Israel ipige eneo lote na kuchukua Ardhi .Na sasa kitakacho tokea Ardhi ya Palestina itamegwa tena .

Wapalestina wa tz huku kina Malaria 2 , FaizaFoxy ,Sir kilaza robert ni ngumu kuelewa . Hivi hawa Hamas wako kwa ajili ya kulinda Raia ? Nchi ? Au ni maslahi binafsi .

Mtu anae linda raia hawezi jificha kwa raia atakwenda kupambana raia wasife .
 
Nawahurumia sana raia wa Gaza ambao hawakuwa na lolote kuhusu vita hii ila wao ndio wanaoumia sasa. Hamas wanadhani kufanya uharibifu Isarel kutawafanya waisraeli waondoke wawaachie nchi, jambo ambalo ni ndoto kabisa. Dawa ni kukubaliana kuishi na Israel kama majirani,

Isareli iliwahi kusema kuwa kila muisraeli mmoja atakayeuwawa na Hamas wao watajibu kwa kuuwa wapalestina 15. Ndiyo maana hata kwenye kubadilisha mateka wao hupokea muisraeli mmoja na kufungulia wapalestina wa idadi kama hiyo hiyo. Sasa baada ya Hamas kuua waisraeli zaidi ya 1400 na kuchukua mateka wengine kama 150, ni lazima wasubiri wapelestina kama 1500x 15=22500 wauwawe kwanza ndipo hali ipoe
 
Sasa yale walosema wamefumua sijui njia za chini ya ardhi kule napo kulikua kunakaliwa na raia
Suala lakuimega tena Palestine hasa hapo ghaza ndio ndoto kubwa za israhell na vibaraka wake wa arabuni pamoja na anti yake na bibi yake us na uk
Ila hilo suala mulisahau zamani sio sasa ghaza idf wataikimbia tu nisuala la muda tu yaani
 
Kwenye kupigania uhuru vifo hua habikwepeki yaani
Ila mhimu malengo yafikiwe tu yakinachopiganiwa
 
Nawahurumia sana raia wa Gaza ambao hawakuwa na lolote kuhusu vita hii ila wao ndio wanaoumia sasa. Hamas wanadhani kufanya uharibifu Isarel kutawafanya waisraeli waondoke wawaachie nchi, jambo ambalo ni ndoto kabisa. Dawa ni kukubaliana kuishi na Israel kama majirani,

Isareli iliwahi kusema kuwa kila muisraeli mmoja atakayeuwawa na Hamas wao watajibu kwa kuuwa wapalestina 15. Ndiyo maana hata kwenye kubadilisha mateka wao hupokea muisraeli mmoja na kufungulia wapalestina wa idadi kama hiyo hiyo. Sasa baada ya Hamas kuua waisraeli zaidi ya 1400 na kuchukua mateka wengine kama 150, ni lazima wasubiri wapelestina kama 1500x 15=22500 wauwawe kwanza ndipo hali ipoe
Waisrahell hawafai kuishi nao pamoja kheri uishi na mamba au simba unaweza ukawa na amani ila sio magaidi wa israhell
Kule ukingo wamagharibi walihusikaje na tukio la 7 October ila unaona wanavyouliwa kina mama watoto na watu wasiokua na hatia
Hamas wakiwa kama wapigania uhuru wanatakiwa kuungwa mkono na kusapotiwa
 
Kwenye kupigania uhuru vifo hua habikwepeki yaani
Ila mhimu malengo yafikiwe tu yakinachopiganiwa
Kwa hiyo malengo ya Hamas yamefikiwa au yanakwenda kufikiwa?
Hizi akili za kindezi ndio zinawafanya wapalestina na Hamas waonekane ni wajinga na wapumbavu.

Huwezi kuvuka mpaka kwenda kuua waisrael halafu udai unapigania uhuru. Hakuna uhuru wa namna hiyo. Huko ni kupigania ujinga.
 
Kwanini waslam wa pemba, Tandale, kwa mtongole tusiungane pamoja tukawapiganie ndugu zetu katika imaan.
 
Waisrahell hawafai kuishi nao pamoja kheri uishi na mamba au simba unaweza ukawa na amani ila sio magaidi wa israhell
Kule ukingo wamagharibi walihusikaje na tukio la 7 October ila unaona wanavyouliwa kina mama watoto na watu wasiokua na hatia
Hamas wakiwa kama wapigania uhuru wanatakiwa kuungwa mkono na kusapotiwa
Sasa kama Hamas inajua waisrael sio watu wema wakuweza kuishi nao, sasa;
-Kwanini Hamas ilienda kuwachokoza? Walikuwa wanataka nini?
-Kwanini wapalestina wasihame tu maeneo hayo na kwenda kuishi mahali pengine.
 
Uchokozi wa HAMAS kwa Wayahudi ulikua na ulazima wowote? Hivi vifo vingeepukika, na bado wanaendelea kufa...

The Palestinian death toll from the ongoing Israeli attacks on the Gaza Strip has climbed to 17,997 since Oct. 7, the Health Ministry in the enclave said Sunday.

Speaking at a press conference, ministry spokesman Ashraf al-Qudra said 49,229 other people were injured in the Israeli onslaught on the blockaded territory.

According to the spokesman, two women were killed and dozens injured in Israeli bombardment of the Kamal Adwan Hospital in the northern Gaza Strip on Sunday.

The Israeli army launched relentless air and ground attacks on the Gaza Strip following a cross-border attack by Hamas on Oct. 7.

The Israeli death toll in the Hamas attack stood at 1,200, according to official figures.
Mr Uharo mbona unatoa data za upande mmoja vipi mabwana zako soma data za mabwana zako hapo ndiyo wamepunguza idadi ya vifo.

Tangu Oktoba 7, IDF inasema wanajeshi 425 wameuawa, haswa wakati wa shambulio la Oktoba 7. Wanajeshi wengine 1,593 wamejeruhiwa: 255 vibaya, 446 wastani na 892 kidogo.

Katika mashambulizi ya ardhini huko Gaza, ambayo yalizinduliwa mwishoni mwa Oktoba, wanajeshi 97 wameuawa na wengine 559 wamejeruhiwa. Kati ya askari waliojeruhiwa wakati wa mapigano ya ardhini, 127 walijeruhiwa vibaya, 213 wastani na 219 kidogo.
Hivi sasa, kuna wanajeshi 40 waliojeruhiwa vibaya, wanajeshi 221 waliojeruhiwa kiasi, na wanajeshi 165 waliojeruhiwa kidogo bado wamelazwa hospitalini, kulingana na IDF.

Wanajeshi waliojeruhiwa katika Ukanda wa Gaza wamehamishwa na kitengo cha 669 cha utafutaji na uokoaji kinachoendeshwa na helikopta.

Kulingana na IDF, Kitengo cha 669 kimefanya medevacs 300 tofauti, na kuchukua karibu wanajeshi 600 hadi hospitali nchini Israeli.
 
Nikisema akili huna unaleta uharo wako hapa.Hiyo ratio ya waisrael waliouwawa na ya wapalestina huoni ni hasara sana kwa Wapalestina?Watu waliouwawa ni wengi wanazidi death toll ya vita ya Tanzania na Uganda ukichanganya waganda na watanzania kwa pamoja.Ni loss kubwa sana kwa taifa la palestina.
Tunakoenda ndani ya wiki mbili zijazo wananchi watawasaliti Hamas kwa sababu wamewaletea madhila makubwa sana.
Plus mateso wanayopata captives wa hamas yataongeza kushindwa kwa hamas.
Hamas hawakutumia akili 7/10 na hawakutumia akili walipokuwa wanawapokea wafungwa toka magereza ya waisrael.
IDF ilitumia chemicals kuwatag ili wawalead kwa magaidi menzao na kwa hili wanafanikiwa kirahisi sana.
Ukiona hamas wa msimbazi wanageukia Hizbollah na houthi jua wiki mbili ni nyingi hamas kuwa katika nchi ya walio hai
 
Kwa hiyo malengo ya Hamas yamefikiwa au yanakwenda kufikiwa?
Hizi akili za kindezi ndio zinawafanya wapalestina na Hamas waonekane ni wajinga na wapumbavu.

Huwezi kuvuka mpaka kwenda kuua waisrael halafu udai unapigania uhuru. Hakuna uhuru wa namna hiyo. Huko ni kupigania ujinga.
Israhell hapo haina mpaka hizo ni ardhi za wapalestine zilizoibwa
Walichofanya hamas nikutoka nairobi wakaenda kisumu au kutoka dar wakaenda mwanza kupambana na magaidi
Malengo ya hamas bado hayajafikiwa ila yatagikiwa kwa uwezo wake Mungu
 
Sasa kama Hamas inajua waisrael sio watu wema wakuweza kuishi nao, sasa;
-Kwanini Hamas ilienda kuwachokoza? Walikuwa wanataka nini?
-Kwanini wapalestina wasihame tu maeneo hayo na kwenda kuishi mahali pengine.
Walienda kujaribu kuchukua sehem za ardhi zao zilizoibwa
Wapalestine kuhama kwao hilo musahau kwamwaka huu wa 2023
Huo ujinga na ujuha muliwafanyia miaka hio ila sio kwenye uhai wa hamas musahau kabisa
 
Israhell hapo haina mpaka hizo ni ardhi za wapalestine zilizoibwa
Walichofanya hamas nikutoka nairobi wakaenda kisumu au kutoka dar wakaenda mwanza kupambana na magaidi
Malengo ya hamas bado hayajafikiwa ila yatagikiwa kwa uwezo wake Mungu
Hili jamaa bhana!
 
If you can't beat them join them. Hao hamas wakubali yaishe wajisalimishe tu ili watu wasiteseke,maana wanaohangaika ni watoto wamama na wazee.
Huo msemo niwawatu waoga na wasio jiamini nakwa hamas haupo
Kama mateso kwakina mama na watoto hayakuanza October 7 nawala hayataisha kwa hamas au Palestine kukubaliana na hao magaidi
Kuuungana na israhell bora uungane na mamba kuishi mtoni waweza ukawa nakaamani kidogo
 
Back
Top Bottom