Mpaka sasa bado sijaelewa Tumepata faida gani awamu hii naona ni shida tu

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Hayati Magufuli alikaa miaka mitano hakuna mgawo sasa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii.Mgao wa umeme umerudi kwa kasi na bado wanamsifia anaupiga mwingi nieleweshwe

Mfumuko wa bei ni mkubwa pesainashuka.Thamani kwa kasi ya 5g, Now serikali imkosa mbinu ya kudeal na mfumuko wa bei imebaki kuongeza bei kila kona,awamu hii nauli za mabasi zimepanda mara mbili kila kitu now ni bei juu sijui tunaelekea wapi

Naongea hya mambo nikiwa nikijana ambae nachapa kazi zangu binafsi na sometime naingiza hata 3m kwa mwezi ila nikiona vitu vilivyopanda bei huwa natafakari watu wenye mishahara midogo sijui wana hali gani

Now ukienda Gengeni vitu vimepanda bei balaa yaani pesa inashuka thamani kwa kasi ya 5g badala ya kuinusuru watu wanakimbilia kupandisha bei, mwisho wa siku kila.

Kitu kitapanda hakuna atakae mkomoa mwenzake itakuwa ni kukomoana na kiuatacho ni hela kushuka thamani
 
JPM Alikaa miaka mitano hakuna mgao sasa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii
Mgao wa umeme umerudi kwa kasi na bado wanamsifia anaupiga mwingi nieleweshwe

Mfumuko wa bei ni mkubwa pesa inashuka
Thamani kwa kasi ya 5g,Now serikali imkosa mbinu ya kudeal na mfumuko wa bei imebaki kuongeza bei kila kona,awamu hii nauli za mabasi zimepanda mara mbili kila kitu now ni bei juu sijui tunaelekea wapi

Now ukienda Gengeni vitu vimepanda bei balaa yaani pesa inashuka thamani kwa kasi ya 5g badala ya kuinusuru watu wanakimbilia kupandisha bei, mwisho wa siku kila

Awamu yake alikuwa anaya kemea maji yapite na kujaza mabwawa. Ila sasa hivi maji yanapinda kona na kwenda kupitia kwenye mito inayo elekea baharini.

Sometimes huwa na jiulizaga sijui wanatuonaje.

Wale walipiga kelele demokrasia, dikteta, uhuru wa kuogea naona sasa hivyo vyote wanavyo kwa mujibu wao na hawajui kuvitumia. Zile kelele ukizichunguza zilikuwa ni za wale waliokuwa wamebanwa.
 
JPM Alikaa miaka mitano hakuna mgao sasa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii
Mgao wa umeme umerudi kwa kasi na bado wanamsifia anaupiga mwingi nieleweshwe

Mfumuko wa bei ni mkubwa pesa inashuka
Thamani kwa kasi ya 5g,Now serikali imkosa mbinu ya kudeal na mfumuko wa bei imebaki kuongeza bei kila kona,awamu hii nauli za mabasi zimepanda mara mbili kila kitu now ni bei juu sijui tunaelekea wapi

Naongea hya mambo nikiwa nikijana ambae nachapa kazi zangu binafsi na sometime naingiza hata 3m kwa mwezi ila nikiona vitu vilivyopanda bei huwa natafakari watu wenye mishahara midogo sijui wana hali gani

Now ukienda Gengeni vitu vimepanda bei balaa yaani pesa inashuka thamani kwa kasi ya 5g badala ya kuinusuru watu wanakimbilia kupandisha bei, mwisho wa siku kila
Kitu kitapanda hakuna atakae mkomoa mwenzake itakuwa ni kukomoana na kiuatacho ni hela kushuka thamani
Amka
 
Bi mkubwa naona anapanda pipa tu sijui anampambania nani
Hizo safari nadiliki kusema safari hizi haziisaidii hii nchi. Kwa wastani tangu aingie madarakani ukichukua ziara zake zooote ukagawa kwa miezi aliyokaa madarakani utaona karibu kila Mwezi 'anaikimbia' nchi. Baya zaidi haongelei shida zinazoikumba nchi kama mfumuko wa bei na kukosa umeme. Itoshe kusema Mama ame- fail mtihani wa Urais.
 
Hayati Magufuli alikaa miaka mitano hakuna mgawo sasa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii.

Mgao wa umeme umerudi kwa kasi na bado wanamsifia anaupiga mwingi nieleweshwe

Mfumuko wa bei ni mkubwa pesa inashuka.

Thamani kwa kasi ya 5g, Now serikali imkosa mbinu ya kudeal na mfumuko wa bei imebaki kuongeza bei kila kona,awamu hii nauli za mabasi zimepanda mara mbili kila kitu now ni bei juu sijui tunaelekea wapi

Naongea hya mambo nikiwa nikijana ambae nachapa kazi zangu binafsi na sometime naingiza hata 3m kwa mwezi ila nikiona vitu vilivyopanda bei huwa natafakari watu wenye mishahara midogo sijui wana hali gani

Now ukienda Gengeni vitu vimepanda bei balaa yaani pesa inashuka thamani kwa kasi ya 5g badala ya kuinusuru watu wanakimbilia kupandisha bei, mwisho wa siku kila.

Kitu kitapanda hakuna atakae mkomoa mwenzake itakuwa ni kukomoana na kiuatacho ni hela kushuka thamani
Kwani kwenye awamu zingine zote zilizopita tumepata faida gani???
 
Ni uvivu tu wa kufikiri na kutafuta majibu kwa njia nyepesi. Nchi nyingi za Africa na dunia zinapitia misuko suko ya kiuchumi, nenda South Africa, nenda Kenya, nenda Uganda, nenda Egypt n.k huko kote ni Samia anatawala?
Mimi huyu mama alikuwa kipenzi changu haswa baada ya kisago cha Magufuli,ila kwa sasa hapana, naamini huyu hana mapenzi na Tanzania..Mtowa mada ameongelea umeme hizo nchi ulizotaja zina hii katakana ya umeme?? Mbagala kwa siku unakatika zaidi ya mara tano kuna baadhi ya siku inakuwa kila baada ya dakika 10 kata washa kata washa vifaa vyetu vinaunguwa hatuna pa kusemea upuuzi mtupu..cha kushangaza Unguja hakuna hii katakata.. Njoo kwenye foleni barabara wameifanya nyembamba kwa upuuzi wao wa mwendo kasi na hamna cha mwendo kasi wala nini kutesa watu tu.
 
Kwani kwenye awamu zingine zote zilizopita tumepata faida gani???
Hakuna kilichopatikana ila angalau mgao wa umeme haukuwepo,mwanzoni mimi nilifikiri wanamfanyia makusudi watu wa Magufuli ili achukiwe kumbe wala mwenyewe hamnazo akiliyake inapambana na kupanga lisiti ya ushindi uchaguzi ujao. Hana mapenzi na Tanzania ila waliowengi hawajaliona hili Kama vipi tubadilishane aende kwao watupe Mwinyi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom