Mpaka mwaka 2017 watanzania 99.59% watakuwa CCM

Kama si upinzani mgepataje magufuri kutoka mtandao wa kijambazi wa ccm? Tatizo reasoning capacity, nothing else!
 
Hata wassira ashawahi sema kufikia 2012 CDM itapotea kwenye siasa (kufa)

Sasa kapotea yeye, angalia isije ikawa opposite
 
kwa dira inaonesha mwaka 2017 watanzania watakuwa ccm.
ccm hivi sasa inajiandaa kusafisha wale wanaojifanya ccm mchana usiku wapo upande mwingi yale makapi yaliobaki yanaondolewa yoote zinaingizwa mashine mpya kuzipa nafasi ya makapi.
na tunamuomba mungu magufuli aende mwendo huo huo.

Si kila ukiotacho basi ukakileta hapa. Ni vizuri ukaiombea Tanzania
 
Weka akiba ya maneno. Haitapita miezi tisa kaboa Magufuli hajayumbishwa vibaya sana na upinzani kuimarika. Sipendi ashindwe lakini ndiyo hivyo tena, imekuwa bahati mbaya kwake.
Kuna ushauri fulani aliiikiliza, japo ndipo ugonjwa umeingilia na muda si mrefu tutaona athari zake
 
Tuombe uzima mengi yatakaa sawa!!! Tumwombeee mungu kama alivyotutaka maana bila kupata mkuu wa nchi mwenye uchungu na aliyetayari kufa kwa ajili ya wanyonge ni kumshukuru mungu!!! Maana kama hawakulipa toka mwa 2010 au 2013 huoni kuwa walitengeneza mtandao mkubwa wa ufisadi bandarini!!! Je kama muda mfupi kaweza kuwaeleza kinaubaga wafanyabiashara bila kupepesa macho au kumumunya maneno ni ujasiri mkubwa!!!
 
kwa dira inaonesha mwaka 2017 watanzania watakuwa ccm.
ccm hivi sasa inajiandaa kusafisha wale wanaojifanya ccm mchana usiku wapo upande mwingi yale makapi yaliobaki yanaondolewa yoote zinaingizwa mashine mpya kuzipa nafasi ya makapi.
na tunamuomba mungu magufuli aende mwendo huo huo.
Hii ni ishara tosha kuwa unaangukia upande wa wasomi uchwara. Kumbe hujui hata hulka ya binadamu, tutakusaidiaje sasa
 
Kwani Magufuli ni ccm? Ni wapi katika kampeni za kusaka urais Magufuli alitamka ccm? Au kuandika chagua ccm? Kwa sababu ya Msoga ccm imekuwa mzoga!
 
kwa dira inaonesha mwaka 2017 watanzania watakuwa ccm.
ccm hivi sasa inajiandaa kusafisha wale wanaojifanya ccm mchana usiku wapo upande mwingi yale makapi yaliobaki yanaondolewa yoote zinaingizwa mashine mpya kuzipa nafasi ya makapi.
na tunamuomba mungu magufuli aende mwendo huo huo.

Kwani Magufuli nini?? Uliona bango lolote wakati limeandikwa Ccm mjinga weee, kuna sera yeyote Magufuli anatekeleza sasa?? Nyie si ndio mlikuwa mnawakingia kifua mafisadi na kuyatetea ona sasa anavyowaumbua
 
kwa dira inaonesha mwaka 2017 watanzania watakuwa ccm.
ccm hivi sasa inajiandaa kusafisha wale wanaojifanya ccm mchana usiku wapo upande mwingi yale makapi yaliobaki yanaondolewa yoote zinaingizwa mashine mpya kuzipa nafasi ya makapi.
na tunamuomba mungu magufuli aende mwendo huo huo.

Hapa ni akili mgando,Watanzania wanamuangalia Magufulu kama individual,na sio kama mwana CCM.Kwasababu haya matatizo ya kuhujumu uchumi,yamefanywa kwa muda mrefu bila CCM kukemia.Hata hoja zinapokuja bungeni,ni CCM ilikuwa inahakikisha inazifutia mbali.Pia tambua,Mh Magufuli anatekeleza sera za upinzani na sio CCM.
 
kwa dira inaonesha mwaka 2017 watanzania watakuwa ccm.
ccm hivi sasa inajiandaa kusafisha wale wanaojifanya ccm mchana usiku wapo upande mwingi yale makapi yaliobaki yanaondolewa yoote zinaingizwa mashine mpya kuzipa nafasi ya makapi.
na tunamuomba mungu magufuli aende mwendo huo huo.

Rudi shule
 
nawe ni great thinker kweli?
 
Shallow, myopic and short sighted, jipe muda utafakari, wacha ushambenga dogo?!?!
 
Back
Top Bottom