BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Kwa Mh Lema.
Nafahamu kuna mfuko unaoitwa Arusha Development Fund ulioanzishwa jijini Arusha kwa lengo la kuchochea kasi ya maendeleo mjini hapa. Ni wazo zuri sana. Sijajua ni maeneo gani zaidi mfuko huu umejikita kwenye kuleta maendeleo ila mambo ya msingi naamini yatakuwa yamezingatiwa kama vile Afya, Elimu na Ajira. Nataka kutoa mchango wangu katika muundo wa mfuko huu ili uweze kuwa na credibility ya kutosha.
Kwa kawaida kazi kubwa ya mifuko kama hii ni kutafuta pesa toka kwa wadau na wahisani mbali mbali either kwa direct approach, get together, gala dinners na njia nyingine nyingi. Lakini hapa kuna issue moja tu kumuomba mdau akuchangie fedha ili ukazitumie kwa lengo la kuleta maendeleo ya watu wengi. Hivyo basi tool kubwa ni credibility ambayo nataka kumshauri Mh Lema aangalie muundo wa ADF kama watendaji wake wana credibility ya kutosha kwasababu hiyo tool ndiyo itakayo tunisha mfuko kwa maendeleo ya mji wetu.
Ushauri - Tunafahamu baadhi ya watu ndani ya nchi ambao ni wapenda maendeleo na wana credibility ya kutosha, basi ni vema mka approach watu kama hao na kuwaomba wakawa kwenye board of trustees and their core functions would be hosting events,raise funds and to ensure that ADF's policies are implemented and the goals are archieved.
Nimeshauri hivyo kwasababu nafahamu ADF ina vijana kama mimi wenye kupenda kuleta maendeleo ila bado na wao pia wanahangaika kutafuta maendeleo yao binafsi
Mungu ibariki ADF, Mungu bariki jiji letu la Arusha na Mungu endelea kumpa hekima Mbunge wetu.