Moyo wenye ganzi. . . . . . !!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Usiombe ukakutana na mtu wa aina hii utayachukia mapenzi. . . . . Nakumbuka ilikua mwaka 1999 nilipokutana na bimti wa aina hii,ilinichukua miaka miwili kumuweka sawa. . . . . Yaani kila unachofanya kwake ni kibaya anaona wewe ni walewale,moyo wake ulishakufa ganzi zamani,hahisi wala hataki kupenda tena.Ukikutana na mtu wa dizain hii bora ule kona tu!
 
Tatizo lako mdogo wangu ni uvivu! Ulikuta ganzi, ukatumia miaka 2 kumuweka sawa. Haya sema ulitumia miaka mingapi kumfurahia kabla hujamrudishia ganzi yake na kusepa?
 
Moyo wenye ganzi tiba yake upendo tu
Ukila kona ndo unauua kabisa.
 
Sio kuurudhisha kwenye ganzi tena, bali aliufisha kabisa.

Tatizo lako mdogo wangu ni uvivu! Ulikuta ganzi, ukatumia miaka 2 kumuweka sawa. Haya sema ulitumia miaka mingapi kumfurahia kabla hujamrudishia ganzi yake na kusepa?
 
Tatizo lako mdogo wangu ni uvivu! Ulikuta ganzi, ukatumia miaka 2 kumuweka sawa. Haya sema ulitumia miaka mingapi kumfurahia kabla hujamrudishia ganzi yake na kusepa?

Sio uvivu,kwanini ulazimishe mambo bana?Sikusepa yeye ndo alisepa,si unajua maji hayasahau baridi hata uyachemshe vipi!Yatapoa tu!
 
Ukikutana na mtu wa dizain hii bora ule kona tu!

bahati mbaya Bazazi sio mtu wa kula kona kirahisirahisi. Nikiwa na uhakika amekufa ganzi na anawaona wanaume wote kuwa manyang'au basi hujitahidi kumrudisha katika msitari. Hii ni kwa kumuonesha upendo, kujali na makandokando yake. Nadhani na naamini sio busara moyo uliokufa ganzi ukaendelea kuufisha zaidi, mwishowe ukakuwa jiwe.

Bazazi ni Bazazi!
 
Eiyer yaani ulivyomuacha ndio aliumia zaidi. nahisi waliofuata baada yako, walikiona cha moto! nahisi pia hukumpenda kivile, ungekuwa umempenda kiukweli usingekubali akuponyoke, ungejaribu kila njia kumfanya arudishe tena imani yake na kuamini kupendwa kupo!
 
Last edited by a moderator:

Huwa sina utani kwenye mahusiano,yeye ndo alikula kona.Na bahati nzuri sijawahi kuacha!
 
Last edited by a moderator:
Usiombe ukakutana na mtu wa aina hii utayachukia mapenzi. . . . . Nakumbuka ilikua mwaka 1999 nilipokutana na bimti wa aina hii,ilinichukua miaka miwili kumuweka sawa. . . . . Yaani kila unachofanya kwake ni kibaya anaona wewe ni walewale,moyo wake ulishakufa ganzi zamani,hahisi wala hataki kupenda tena.Ukikutana na mtu wa dizain hii bora ule kona tu!
Anaka wapi huyo??au mimi ndo sielewi??KWENYE RED
 
Huwa sina utani kwenye mahusiano,yeye ndo alikula kona.Na bahati nzuri sijawahi kuacha!

Hivi kweli mtu mwenye ganzi ikatokea akampata mtu wa kumtoa hiyo ganzi,atamuacha huyo mtu kweli? We Eiyer acha kutudanganya bwana
 
Last edited by a moderator:
Usiombe ukakutana na mtu wa aina hii utayachukia mapenzi. . . . . Nakumbuka ilikua mwaka 1999 nilipokutana na bimti wa aina hii,ilinichukua miaka miwili kumuweka sawa. . . . . Yaani kila unachofanya kwake ni kibaya anaona wewe ni walewale,moyo wake ulishakufa ganzi zamani,hahisi wala hataki kupenda tena.Ukikutana na mtu wa dizain hii bora ule kona tu!

labda unafanya vitu ambavyo vinamkumbushia past.life yake,hivyo lazima akuone wewe ni walewale tu..
 
Hivi kweli mtu mwenye ganzi ikatokea akampata mtu wa kumtoa hiyo ganzi,atamuacha huyo mtu kweli? We Eiyer acha kutudanganya bwana

Iwe uongo au vinginevyo,ukikutana na mtu huyu utajua!
 
Last edited by a moderator:
mkuu wewe ni mkubwa hivyoo???? siamini yan 1999 ????????????? ahahahaaaa mimi kweli kichanga duuu heshima kwako mkuu Eiyer vip unaendeleaje na homa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom