Moyo wangu huwa unaumia sana nikiona vijana wadogo wakimtukana Rais Samia mtandaoni

Ukiona hivyo elewa kuwa hao ni watoto wametoka nyumba zisizo na maadili, wengi wa namna hiyo utakuta ni mashoga na ni watoto ambao kila mwanamme anaeingia nyumbani kwao anaambiwa "mwamkie baba'ko".

Nyumba za namna hiyo "automatically" hakuna mtoto anaemheshimu mama'ke humo, sasa fikiri mtoto asiyemheshimu mama'ke anaweza kumheshimu mama wa mwenzake? Maawe.
Tanzania kula kila aina ya drama hata wale tunaowaona wameelimika sometimes wanazingua
 
Mbona huumii kuona vijana hao wadogo hawana ajira?
Mbona huumii kuona vijana hao hawasikilizwi na viongozi wao?!
 
Kwa hiyo wewe unabishana na yeye huyo aliyesema hatuna ajira ndo maana tunapata muda wa kushinda mitandaoni kuwasema viongozi?
Serikali ya Rais samia katika suala la ajira imefanya kazi kubwa sana ya kutoa ajira kwa vijana.kakini pia kupitia miradi mbalimbali iliyojengwa hapa nchini hapo pia vijana wengi sana wamepata ajira
 
Kwani Haki,Sheria na matusi vina umri,kudai Haki na kusema ukweli having umri,kama rais ametukanwa nendeni mahakamani,huyu upumbv wa poo rais katukanwa! Si aende mahakamani!
 
Wakukurupuka ktk ubora wako. Unavidhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama. Hivi raisi atukanwe na vyombo visichukue hatua? Au umeshindwa kutofautisha kati ya kukosoa/kutukana.
 
Mimi sipingi kukosoa bali Napinga na matusi yanayotolewa na vijana waliokosa adabu na malezi.
 
Wakukurupuka ktk ubora wako. Unavidhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama. Hivi raisi atukanwe na vyombo visichukue hatua? Au umeshindwa kutofautisha kati ya kukosoa/kutukana.

wewe ndio unajidhalilisha mkuu, huoni kuwa unaongea uongo! Au unaongea usichokijua! Hivi unajua kama Rais ametukanwa na baadhi ya watu, kuna siku nimeingia insta, nikakutana na comment ya kumtusi huyu mama, ni tusi baya ni aibu kulitamka hata kwa mwanamme tusi hilo.

Ndio maana nikasema hawa watu wasio na heshima watafutwe wakamatwe na sheria ichukue nafasi yake.
 
Mimi napishana na wewe kwa kuwa umekuwa ni Mchonganishi, muongo,mwenye chuki binafsi na mpandikiza sumu ya uongo. Nataka unithibitishie hiyo ID yako ya uongo uliyo weka hapa jukwaani kuwa ni yangu na naitumia kutishia wapi. Kwa hakika wewe ni mnafiki sana .ni muongo sana na ni mtu hatari sanaa tena sana na muuaji mkubwa. Hata hivyo sikushangai maana siyo mara yako ya kwanza kunitishia humu jukwaani.

Ndio maana nimewahi kukuuliza kuwa je unavyonitishia mimi maisha wewe utaishi milele? Wewe una undugu na Mungu kuwa umepewa kibali cha kutoa uhai wa yeyote anayekwenda kinyume na mtizamo wako? Wewe uliyezaliwa na mwanamke hutakufa? Utaishi milele hapa Ardhini? Pua yako imeangalizia wapi? Acha vitisho na kunitishia ,Tubishane kwa hoja na tukubaliane kutokukubaliana .wewe amini unacho amini nami acha niendelee kuamini nacho amini juu ya uongozi wa Rais samia.Tusilazimishane kuwaza na kufikiri kwa aina moja.hilo haliwezi kuwa Taifa hai .
Mama Samia aliruhusu malipo hayo yafanyike kwa kampuni hiyo na ongezeko zaidi kwani kampuni hiyo badala ya kulipwa tsh Bil 10.9 sasa imelipwa tsh Bilioni 21.9 na chanji inabakia.

Pesa hizo zililipwa katika akaunt namba 01530390577600 CRDB, mali ya DAISY GENERAL TRADERS kwa mafungu mawili ambapo tarehe 25/3/2023 akaunt tajwa ilipokea kiasi cha tsh Bilioni 2,737,986,111.86 na baadaye kiasi cha tsh 19,223,257,320.00 hivyo kukamilika kiasi cha tsh Billion 21,961,243,431.86.

Hata hivyo kampuni ya DAISY GENERAL TRADERS ilipata tender Wizara ya Mambo ya ndani kutengeneza sare za jeshi kwa gharama ya kiasi cha tsh Bilioni 10 na baada ya kuchelewesha inaonyesha fedha hizo zilizuiliwa kulipwa.

Katika Mazungumzo ya wamiliki wa kampuni ya DAISY GENERAL TRADERS ambao ni Angela Kiziga na Elvis Peter Kilango na Serikali waliomba kulipwa ongezeko la tsh milioni 900 ambazo zilikuwa ni kwa ajili ya kodi na wakakubaliana hivyo. Jumla walistahili kulipwa kiasi cha tsh bilion 10.9. Cha kushangaza ni namna mgao na malipo yalivyofanyika. Baada ya kiasi cha tsh Bilioni 21,961,243,431.86 kuingizwa kwenye akaunt no 01530390577600 CRDB mali ya DAISY GENERAL TRADERS inayomilikiwa na Angela Kiziga na Elvis Peter Kilango mgao ulikuwa kama hivi.

Bwana Elvis Peter Kilango inaonyesha ana akaunti no 2012322 mali yake binafsi katika Bank ya ABSA BANK TANZANIA. Ambapo sasa hapo ndio mchezo ukaanza.

Akaunt No 2012322 mali ya Elvis ikaanza kupokea miamala kama ifuatavyo.

Tarehe 30/3/2023 ilipokea kiasi cha tsh Bilioni 7
Tarehe 5/4/2023 ilipokea kiasi cha tsh Bilioni 8
Tarehe 12/4/2023 ilipokea kiasi cha tsh bilion 4.9

Mpaka hapo ukipiga hesabu utaona akaunti hiyo binafsi iliingiza Jumla ya kiasi cha tsh Billion 19.9

Mgawanyo mwingine ukaendelea kwa watu binafsi sasa.

Elvis Peter Kilango alijiingizia kiasi cha tsh bilion 4,769,200,000.00
Elvis akalipa fedha kwenda kwa KARMJRR JIVANJEE LTD tsh 83,132,485.00
Malipo kwenda TOYOTA TANZANIA LTD tsh 389,161,125.00
Malipo kwa anayedhaniwa ni Mbunge ndugu LIVINGSTON JOSEPH LUSINDE tsh 10,000,000.00
Malipo kwa VELVE AUTO INVESTMENT tsh 103,776,974.00
Malipo kwa HANDCRAFT NISSAN LTD tsh Bilioni 1,061,658,000.00
Malipo kwa Paul Joseph Meela tsh Bilioni 5,000,000,000.00
Malipo kwa SANGAM INDIA LTD tsh 493,616,833.00
Malipo kwa TAJ EDGE COMPANY tsh 201,835,693.00
Malipo kwa HEAVENLIGHT EDWARD KAVISHE tsh 141,000,000.00.

Ikumbukwe ABDULHALIM HAFIDH AMEIR ni kijana pendwa wa Mama Samia anayedhaniwa kumuongoza Rais kwa kuwaondoa serikalini watu wanaopingana naye.

ANGELA KIZIGA ni Swahiba na shosti wa Rais Samia na ni Mbunge wa Afrika Mashariki aliyepitishwa Bungeni bila hata kufanya interview katika chama.
THANIA ALI ABDULA ni mke wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi ambaye naye kwenye orodha ya wizi huu yumo.
Paul Joseph Meela ni shemeji yake na Mwigulu Nchemba yaani kaka wa mke wa Waziri wa Fedha.

Wengine tutawaletea mahusiano hayo taratibu.

Hata hivyo mgawanyo haukukomea hapo soma hapa chini utaona.

Tarehe 19/4/2023 ABDULHALIM HAFIDH AMEIR aliingiziwa kiasi cha tsh milioni 500,000,000,00.
Tarehe 19/4/2023 THANIA ALI ABDULA aliingiziwa kiasi cha tsh milioni 500,000,000,00 (mke wa Waziri wa Mambo ya Ndani ndgu Masauni na mtu wa karibu na Rais Samia)
Tarehe 5/5/2023 ndugu ABDULHALIM HAFIDH AMEIR aliingiziwa kiasi cha tsh milioni 500,000,000.00
Tarehe 9/5/2023 ndugu ANATORI NYAKI aliingiziwa tsh 500,000,000.00
Tarehe 9/5/2023 ELVIS PETER KILANGO alijiingizia kwenye Akaunti yake kiasi cha tsh Bilioni 3,676,000,000.00
Tarehe 15/5/2023 ndugu YASSIR KAROUB SEIF aliingiziwa kiasi cha tsh 300,000,000.00
Tarehe 15/5/2023 THANIA ALI ABDULA aliingiziwa kwenye akaunt yake tena tsh 200,000,000.00
Tarehe 22/5/2023 ABDULHALIM HAFIDH AMEIR tena akaingiziwa kiasi cha tsh milioni 120,500,000.00

Kwa mgawanyo huo utaona kama ifuatavyo.
1. ABDULHALIM HAFIDH AMEIR amelipwa kiasi cha tsh Bilioni 1,120,500,000.00
2. Bi THANIA ALI ABDULA amelipwa kiasi cha tsh milioni 700,000,000.00
Hawa wote sio watumishi wa Umma na haijulikani wamefanya biashara gani na Serikali.
Kama mama Samia hahusiki ni vyema asimame na kuwakamata wahusika wote wa jambo hili.

Hata hivyo akaunt no 0152673620900 CRDB mali ya THANIA ALI ABDULA ndio iliyopokea pesa zote ambazo mke wa Waziri wa Mambo ya Ndani alilipwa na yeye kuzigawa kama ifuatavyo.

Tarehe 27/4/2023 THANIA ALI ABDULA alimuingizia ndugu ALI JAFAR SHAURI kiasi cha tsh 100,000,000.00
Tarehe 5/5/2023 alitoa cash yeye mwenyewe kiasi cha tsh milioni 170,500,000.00
Tarehe 10/5/2023 alimuingizia pesa ndugu HAMAD MASAUN YUSUPH (mumewe) kiasi cha tsh milioni 80,000,000.00.

Hapo tunamaanisha kazi iendelee ni pamoja na hayo yote?

Nchi imeshindikana hii.

Ni mimi Mghaibuni toka Ughaibuni kunako haki na kweli naendelea kuwajuza.
 
wewe ndio unajidhalilisha mkuu, huoni kuwa unaongea uongo! Au unaongea usichokijua! Hivi unajua kama Rais ametukanwa na baadhi ya watu, kuna siku nimeingia insta, nikakutana na comment ya kumtusi huyu mama, ni tusi baya ni aibu kulitamka hata kwa mwanamme tusi hilo.

Ndio maana nikasema hawa watu wasio na heshima watafutwe wakamatwe na sheria ichukue nafasi yake.
Ni kukamata na kuwatupa ndani watu wote wenye matusi ili wakajibu na kujieleza vizuri huko.
 
Haya ni Majungu tu na mambo ya upishi wa habari uchwara tu zenye lengo la kumchafua mh Rais na familia yake.
 
Back
Top Bottom