mimi na wana-jf wengine, kwani kipi cha ajabu?
Mtu anayejielewa haezi kujibu kama ulivyojibu
angalia tarehe za kujiunga halafu utajua nani ni mgeni wa nani.
Na mzinga wa nyuki ndio wewe? Kwanini nikubusu? Nibaki hapohapo wapi? Nikifanya nini? Kwa lipi hasa? Jibu kuhusu nini?
sawa mazee, jf SI sehemu ya kugaiana stress..basi basi hebu tufunikeni kombe mwanaharamu apite jamani, kwa pamoja tumlaani shetani! Daima tubaki salama! eace: eace: eace:
Hahahaaaaaaa nilikuwa nimekodolea macho kweli lol
Ok then, basi wake wenzio cacico na Yummy watakuwa kwenye kamati ya ulinzi na mapokezi. Ila watahadharishe wasije wakajisahau wakakolea na kiduku kama kwenye harusi ya Young_Masterwatu weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Asprin hubby, mie nitasimamia vinywaji loh...
Bi shosty mbona jinsi ulivo na maneno yako haviendani?
basi basi hebu tufunikeni kombe mwanaharamu apite jamani, kwa pamoja tumlaani shetani! Daima tubaki salama! eace: eace: eace:
kha! sasa nimeamini kutangulia co kufika Judgement na beibe nasty
Are u real stressing up kwa chitchat Gosh ithought is nt real kumbe watu eanyaweka kwa mioyo lool mnisamehe im always smilling nikiwa chitchat.sorry abdulhalimsawa mazee, jf SI sehemu ya kugaiana stress..