**MOViES** Ni ipi utaenda kuona wkend hii? Ipi umeona hivi karibuni? Ipi ni must see?

GT, hii kitu nafanya hima niende kusini, Peramiho tena nipate kuiona, naona imewika sana... na kwa kukuaminia kwa vile umeonekana kuipenda sana, umuhimu wa kuiona umekolea...

Mpaka leo sijaiona Dark Knight na mzuka wa kwenda kuiangalia sina lol....Ila Traitor sitoikosa jumatano hii!!!
traitor_galleryposter.jpg
 
Kwa upande wa action movies navutiwa na Bourne trilogy films (BOURNE IDENTIT,BOURNE SUPREMACY na BOURNE ULTIMATUM)...movie hizi ni kali sana maana JASON BOURNE aka Captain DAVID WEBB(MATT DAMON) kafunika hasa katika mambo ya u'spy'.....yaani ni bonge la spy...Movie hizi zaweza kuwa zimetumia gaharama kubwa mno maana zimeaktiwa katika nchi za US,UK,India,France,Russia,Italia,Germany,Switzerland,Spain na Morocco
 
....hivi inafyatuliwa lini hii kwenye big screen?
Mkulu hii kitu inafyatuliwa jumatano, wakati akina Clinton wanahijack convention mimi nitakuwa zangu theatre nakodolea macho hii kitu.
 
Kwa upande wa action movies navutiwa na Bourne trilogy films (BOURNE IDENTIT,BOURNE SUPREMACY na BOURNE ULTIMATUM)...movie hizi ni kali sana maana JASON BOURNE aka Captain DAVID WEBB(MATT DAMON) kafunika hasa katika mambo ya u'spy'.....yaani ni bonge la spy...Movie hizi zaweza kuwa zimetumia gaharama kubwa mno maana zimeaktiwa katika nchi za US,UK,India,France,Russia,Italia,Germany,Switzerland,Spain na Morocco

Lol mkulu kuna nyingine wanatumia technology ya green/blue screen na color keying.
 
YNIM,
Movie ya mwisho kuiangalia ilikuwa ni Wanted na Hancock ila hii week nina muda wa kucatch up na movies....Movies za Jason Bourne ni nzuri sana...Speaking of Wedding Crashers, movie ya Owen Wilson ya Drilbit Taylor(Feb 2008) niliipenda kiana.
 
Msee,
umeicheck TRAITOR leo? ipo safi nimeipenda...vipi wewe?
Ndio nimetoka kuikodolea macho sasa hivi(I had to watch Bill's speech)...ebanae nimeipenda sana ile movie....Ila mchizi aliwasweka jamaa wote kwenye basi moja lol.
Next kwenye list ni
1.Righteous Kill
2.Burn After Reading
 
Don Cheadle is a cool cat! So is the Pakistani guy who played the young rich man!

Best part is the scramble for the rights to blow up the bus!
 
aisee ile ilikuwa kali i.e. kuwaweka jamaa ktk basi moja....duuhh
 
Kuna yeyote aliyeiona Eagle Eye? Kama yupo naomba anitaarifu kama inastahili kwenda kuiona. Nimeziona Lakeview Terrace na Body of Lies zote ni nzuri sana.
 
TWO CAN PLAY THAT GAME (ni ya mwaka 2001 lakini ni nzuri hope mmeiona)...pia kuna hii ya mwaka huu THREE CAN PLAY THAT GAME (ya mwaka 2008) ni nzuri sana hasa kwa wawili wapendanao....zote hizi ni Romantic comedy films za VIVICA A. FOX

Nakubaliana na wewe Balantanda, "Three can Play that game" is so gooood, i love it so much as a result I have it in my library already...I recommend it for fun and good times esp. for ladies; they might learn something crucial in their relationships.
 
Bubu, Eagle Eye poa sana, Body Of Lies iko poa sana sema duh wanazunguka sana duniani alafu Russell Crowe role yake ilikuwa inamfanya aonekane kama hayuko serious....ila movie ilibring back some memories of some places walizoshoot.
 
Back
Top Bottom