Movie na series nzuri inayohusu utafutaji wa mali (utajiri)

kwa series ni "Breaking Bad" inahusu Teacher mmoja wa chemistry ( Walter white -Heisenberg) aliyeacha kazi baada ya maisha kumuia vigumu huku akipata ugonjwa wa cancer. akajiingiza kwenye shuguli ya kutengeneza dawa za kulevya aina ya crystal Meth akishirikiana na mwanafunzi wake wa zaman Jesse pinkman . kutokana na kuwa na knowledge kubwa ya chemistry aliweza kutengeneza "blue Meth" zilizokuwa za kipekee kabisa america nzima akajikuta ameteka soko lote America. baadae anabadilika na kuwa mtu mwingine kabisa akijiita Heisenberg akishirikiana na drug lord la kimexico Gus fring liliomfungulia kiwanda na kuwa anasambaza America ya kaskazini na kusini baadae anakuwa bilionea mkubwa Ila mwishoni hali inakuwa tofauti
 
Kuna movie moja niliangalia sehemu na ilikuwa inaonyeshwa kupigia dstv sikumbuki jina ila kuna jamaa black na mzungu wamefungwa pingu kwa pamoja, na wakafanikiwa kutoka shida ikawa hawelewni lkn wamefungwa pamoja . mwenye kuifahamu plz naomba jina
 
Kuna movie moja niliangalia sehemu na ilikuwa inaonyeshwa kupigia dstv sikumbuki jina ila kuna jamaa black na mzungu wamefungwa pingu kwa pamoja, na wakafanikiwa kutoka shida ikawa hawelewni lkn wamefungwa pamoja . mwenye kuifahamu plz naomba jina
Inaitwa fred kama sijakosea
 
The wolf of wallstreet
American Gangster
The social network
Branded
The Natorious BIG
Straight Outta Campton
The Godfarther
The last Don
Road to perdition
Jamaa huyu wa kuitwa LEONARDO DE CAPRIO nilikuwa nchukulia poa aiseee ila kwenye THE WOLF IN WALL STREET nimempigia saluti.
 
Catch Me If You Can

Italian Job

Queen Of South

The wolf in wall street

Money Heist

The Godfather
 
Back
Top Bottom