Movie Noah 2014 ya ovyo

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,071
12,612
Hii movie imesifiwa, niko cinema naiangalia ni ya ovyo kweli, imejaa uongo uongo uongo haina mpangilio imejaa upotoshaji wa hali ya juu
 
Siyo kwamba lugha imesumbua?

No siyo Lugha. Mtiririko umejaa kibiashara zaidi kuliko kilichopo kwenye bible. Mi bible naijua kidogo sasa uelewa wangu wa tukio lilivyokuwa ni tofauti. Mfano eti kuijenga hiyo ark alisaidiwa na the watcher "shetani" kitu ambacho ni uongo. Pia eti kulikuwa na ukame wa hari ya juu, nao ni uongo. Maana yake kwa ujumla hii movie inaondoa ukuu wa Mungu.
 
Hao walioi-Produce hiyo movie si ndiyo waliokuletea Bible na kukueleza kuhusu Mungu? Inakuwaje unawapinga?

Au wewe unaushahidi wako wa kuhusu yaliyotokea kipindi hicho?
 
hahaha nlikua maicheki majala akamaa mojw mi egypy akapauuka something is missing. nafkiri isingewezekana itokee kama bible inavyosema
 
hahahaa, mkuu haujaeleweka,muwe mnadisable auto-correction kwenye hizo simu zenu za touchscreen!
 
  • Thanks
Reactions: amu
No siyo Lugha. Mtiririko umejaa kibiashara zaidi kuliko kilichopo kwenye bible. Mi bible naijua kidogo sasa uelewa wangu wa tukio lilivyokuwa ni tofauti. Mfano eti kuijenga hiyo ark alisaidiwa na the watcher "shetani" kitu ambacho ni uongo. Pia eti kulikuwa na ukame wa hari ya juu, nao ni uongo. Maana yake kwa ujumla hii movie inaondoa ukuu wa Mungu.

ni "fiction" mkuu, story imabase kwenye hadithi ya biblia, lakini si lazima kila kitu kitoke kwenye biblia, movie isingeuza na ingeboa vibaya mno! Kunogesha movie wamechukua na vipande vya hadithi kutoka dini zingine za kale, kumbuka kuwa hadithi nyingi za agano zimetoholewa na kuboreshwa kutoka kwenye imani za kipagani.
 
No siyo Lugha. Mtiririko umejaa kibiashara zaidi kuliko kilichopo kwenye bible. Mi bible naijua kidogo sasa uelewa wangu wa tukio lilivyokuwa ni tofauti. Mfano eti kuijenga hiyo ark alisaidiwa na the watcher "shetani" kitu ambacho ni uongo. Pia eti kulikuwa na ukame wa hari ya juu, nao ni uongo. Maana yake kwa ujumla hii movie inaondoa ukuu wa Mungu.

Walio andika biblia wamekupotosha ndio maana waona movie hii ya hovyo, katafute injili za Yuda na Mary Magdalene uone ukweli uliofichwa makusudi.
 
Hii movie imesifiwa, niko cinema naiangalia ni ya ovyo kweli, imejaa uongo uongo uongo haina mpangilio imejaa upotoshaji wa hali ya juu
ndio maana katika nchi za kiislamu wameipiga marufuku,mimi ni muislamu pia maandiko kuhusu nuhu'noah' hayajapishana sana kati ya qur'an na bible ila ile movie nimeicheki mwanzo mwisho ni uongo na upotoshaji mkkubwa sana tena sana,na kama umemcheki yule jamaa mwenye jicho moja ndo wale wale waabudu shetani.
 
Walio andika biblia wamekupotosha ndio maana waona movie hii ya hovyo, katafute injili za Yuda na Mary Magdalene uone ukweli uliofichwa makusudi.
Mkuu kama una enjili hizi naomba utuwekee hapa soft copy hasa hii ya Mary Magdalene. Nilisoma sehemu kwamba Mary Magdalene ndie aliyekuwa karibu sana na Jesus,alikuwa akiongozana na Jesus maeneo mengi aliyoenda na alijua mambo mengi ya Jesus na mambo mengi yaliyotokea wakati wa Jesus. Lakini walti ule mwanamke hakutakiwa kujiinua hata kidogo mbele ya wanaume na kuonyesha anajua. Nasikia kuna muda kwenye mikutano ya wale thenashara,Mary Magdalene alikuwa akibishana na Peter na wanaume wengine. Inaendelea kwamba Peter aliamua kumbana Mary na mafundisho yake na ndio chanzo cha hizo enjili za Yuda na Mary Magdalene kutosikika kwenye ukristo wote na hasa ukatoliki. Kama unazo tuwekee mkuu ili tujue nini hasa hawa nao walisema.
 
hahaha nlikua maicheki majala akamaa mojw mi egypy akapauuka something is missing. nafkiri isingewezekana itokee kama bible inavyosema
Yew! hii ni lugha mpya?akili zote zinaniuma kusoma hii post!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mkuu kama una enjili hizi naomba utuwekee hapa soft copy hasa hii ya Mary Magdalene. Nilisoma sehemu kwamba Mary Magdalene ndie aliyekuwa karibu sana na Jesus,alikuwa akiongozana na Jesus maeneo mengi aliyoenda na alijua mambo mengi ya Jesus na mambo mengi yaliyotokea wakati wa Jesus. Lakini walti ule mwanamke hakutakiwa kujiinua hata kidogo mbele ya wanaume na kuonyesha anajua. Nasikia kuna muda kwenye mikutano ya wale thenashara,Mary Magdalene alikuwa akibishana na Peter na wanaume wengine. Inaendelea kwamba Peter aliamua kumbana Mary na mafundisho yake na ndio chanzo cha hizo enjili za Yuda na Mary Magdalene kutosikika kwenye ukristo wote na hasa ukatoliki. Kama unazo tuwekee mkuu ili tujue nini hasa hawa nao walisema.

Mkuu, nilidownload injili ya yuda na mary magdalene kwenye youtube.
Documentary ya Mary Magdalene walifanya BBC na kila kitu kimetokana na scientific findings sio mere speculations.
 
Back
Top Bottom