Benzoic
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 421
- 149
Naona sipati kila kitu: Internet, calls, mpesa ni majanga.
Mwenye idea anijuze hawa jamaa wamepatwa na janga gani?
=======
UPDATES:
Tetesi:
Mwenye idea anijuze hawa jamaa wamepatwa na janga gani?
Wakuu nimeamua kuleta hapa swala vodacom kwa kuwa hili ni jukwaa mama. Tangu Jana saa 10:30 jioni tumekosa kabisa huduma zote za vodacom. Ninachoona kuwa wameanza hawa wenzetu wameanza kufanya siasa.
Kimewafika nini? Kwanini hawakutupatia taarifa mapema tujue kinachoendelea?
=======
UPDATES:
Tetesi:
Switch zao zilizoko Masaki zimeungua moto...
All subscribers served by MSCs located at Masaki have been affected!
Uthibitisho:Habari ambazo hazijathibitishwa ni kuwa switch yao ilishika moto. Kama ni kweli nadhani itachukua muda kurudi kwenye hali ya kawaida.