Njalamatata
JF-Expert Member
- Jul 12, 2010
- 293
- 153
Isije ikawa Mawasiliano yaliyonaswa na CCTV pale airport ndo yanafutwa hivooo!
Habari ambazo hazijathibitishwa ni kuwa switch yao ilishika moto kama ni kweli nadhani itachukua muda kurudi kwenye hali ya kawaida.Nafikiri ni nchi nzima. Ni janga, wengi wamekwama kwa ajili ya hili. Nina mgeni sina jinsi ya kujua kama kafika as sina no yake nyingine naye hajui no zangu zingine.
Voda wana switch nyingi, hiyo iliyoshika moto ni ipi?Habari ambazo hazijathibitishwa ni kuwa switch yao ilishika moto kama ni kweli nadhani itachukua muda kurudi kwenye hali ya kawaida.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Chezea habari za madawa acha wafute waformat server.Nilifikiri labia simu yangu inamatatizo,lakini nilipojaribu kutumia mtandao wa tigo kwenda tigo/airtel simu zinatoka kama kawa.
Lakini voda-voda/tigo/airtel imegoma.
Sijui kama ni Tanzania yote au lah,Ila kwa Dar-UK imegoma kabisa!
Hakuna switch wala nini wale waliopitisha madawa ya kulevya kuna tetesi kuwa line zao zote ni voda kuna ushahidi unafutwa na kutengeneza mazingira salama kwa kampuni ya voda...Habari ambazo hazijathibitishwa ni kuwa switch yao ilishika moto kama ni kweli nadhani itachukua muda kurudi kwenye hali ya kawaida.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Voda wana switch nyingi, hiyo iliyoshika moto ni ipi?
Mkuu VODACOM IMEKUFA RASMI!!!Nilifikiri labia simu yangu inamatatizo,lakini nilipojaribu kutumia mtandao wa tigo kwenda tigo/airtel simu zinatoka kama kawa.
Lakini voda-voda/tigo/airtel imegoma.
Sijui kama ni Tanzania yote au lah,Ila kwa Dar-UK imegoma kabisa!
vodacom is dead!!!!nilifikiri labia simu yangu inamatatizo,lakini nilipojaribu kutumia mtandao wa tigo kwenda tigo/airtel simu zinatoka kama kawa.
Lakini voda-voda/tigo/airtel imegoma.
Sijui kama ni tanzania yote au lah,ila kwa dar-uk imegoma kabisa!
Pale Kwale? kama ni hapo hii ishu ni kubwa, maana pale kuna karibia kila kitu, ukisikia network ya Voda ndo iko pale.Iliyoko maeneo ya oisterbay mkuu