moto unateketeza nyumba tabata relini

SIR JAPHET

Member
Mar 21, 2011
31
6
wadau kuna nyumba inaungua moto tabata relini mpaka sasa hakuna msaada wa zima moto. source clouds fm m.dayo
 
mmiliki ni mkristo na inasemekana kundi kubwa la watu waliovaa nguo ndefu nyeupe na tu kofia tweupe walionekana wakiwa na jazba huku wameshika viberiti wakiandamana. pia kulikuwa na kundi jingine la maninja waliojifunika uso mzima na kubakiza tu macho tu walionekana wakitembea kwa hasrira huku wakisema death to america
 
Acha utani bana!
Anyway pole kwa mmiliki na wapangaji (kama imepangishwa). Let's hope that there's no life lost.
 
Duh!pole kwa wale wote waliofikwa na madhira haya ya kuunguliwa na nyumba maana kwa sisi watanzania wengi huwa hatuna kawaida ya kukata bima kwa ajili ya nyumba zetu ambapo insurance company ingeweza kufidia hasara hiyo. Pia kwa foleni za Dar sijui kama magari ya fire yatakuwa yamewahi.
 
Back
Top Bottom