Moshi foleni ni noma

Watu wengine sijui wakoje bwana, yaani mtu kwenda nyumbani kwenu ni ushamba? kwa hiyo kuwatelekeza kwenu na kuishia mjini ndo ujanja sio? Hopeless & be Ashamed to ear out pumba like this.
 
kweli Wachaga washamba sana yaani kila december lazima waende moshi. Nasikia na wenyewe siku hizi wanaua kama wakinga!
Hivi mshamba ni yupi? Anayethamini kwao au asiyethamini kwao? Leo unaona kwenda kwenu ni ushamba? Kaaaazi kweli kweli!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom