Mkulima mimi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2009
- 233
- 31
hahahahaaa....kama ulikuwepo...vip ulikua MAKONGORO nn?au kwa wala weed LUMUMBA?
kwa wastaarabu shaban robert!
hahahahaaa....kama ulikuwepo...vip ulikua MAKONGORO nn?au kwa wala weed LUMUMBA?
BAGAH!!!.. lol.akati karibu nagonga menopoz ya kiume...afu ww unasema niko sekondari...kashfa!
NAAM shem!..
Hajambo, hicho cha mchana amekula hotel manake mida ya kazi hii..braza hajambo?cha mchana chakula umempa?
mamii um going!...