Mods anzisheni jukwaa la salamu

Salamu zangu za dhati ziwafikie bagah, erickb52, msolid1990, bishanga, judgement, saint ivuga, mtambuzi, nicas mtei, junior cux, ruhazwe jr. Na ........ Lizzy, kongosho, firstlady, charminglady, sweetlady, ummu kulthum, mammamia, madame b, na wapenzi wote wa jf chitchat ujumbe hii ni wiki mbaya kwa cantalisia coz mumewe rejao kala ban ya 5days!

SALOK, Salamu na ujumbe vimefika.
Nawe unasalimiwa huku.
Karibu mkekani tule embe za kuvumbika.
 
Last edited by a moderator:
Napenda kutuma salamu kwa Matola, The Boss, BAK kutoka Igoma maeneo ya watu wazito, mie ni Nzegembe wa nzegembe toka Igoma meneo ya watu wazito sababu jana mlinitafsiria ule wimbo kabla sijatuma salamu RFA
BADILI TABIA, napenda kutuma salamu kwa avatar yako, mie ni Marichui

Mie napenda kuwatumia salamu Keren_Happuch, WomanOfSubstance, Michelle, BelindaJacob, @BlakiWoman, Mbu, jmushi1, JG, Vaislay, MziziMkavu, Kongosho, Kaunga, Peasant, Wapenzi wote wa Arsenal, MANU, MANC na Cheslea....ujumbe mkiona taa inawaka mjue mafuta yanateketea :) Ningependa wote waburudike na kipande hiki cha muziki.

Last edited by a moderator:
Napenda tuma salamu toka uvunguni mwa kucha zangu kwa Bishanga, Rejao na Asprin.
Ujumbe: acheni kukua kivolume tu, ongezeni na mass, wepezi kama povu lol, mnanichosha.
Nami pia nakusalimi Kongosho asali ya ODM. Ujumbe ukijisikia kuwashwa sehemu ambayo huwezi kupakuna, njoo nikuazime kucha.

Halafu Kongosho nasikia jana Asprin kaharibu kwako lol
Umbea..........!:crazy:

Napenda kutuma salamu za kwanza kwa mwandaaji wa shindano kubwa hapa jf Superman.
Ujembe: Umeshawalipa washindi, walikopa huduma hivi afu hawanlipi. Dedikesheni 'Nlipe nisepe wa yule mtoto wa morogoro"

Salamu za pili zimwendee loya klorokwini popote alipo.
Ujumbe: Njoo tusaidie kudai, ili tulipwe tusepe.
Naongeza pasenti ya shea yako toka ten to twente faivu. Afu ukimwona Superman mwambie tukikutana tutatenganishwa na damu.

Mie na Asprin huwa tunaharibiana.
Akiibuka na Mwaju mie nina hasani
Raha sana kuwa na Open relationship.

Mme niliyenaye kazi yake kujinywesha limbwata tu, hadi raha.
Umbea......!:der:
 
Last edited by a moderator:
Mimi TANMO napenda kutuma salam, ziende, ziende, zikifika Chalinze zikate kona, ziende, ziende, pale Segera zikate kona zielekee kushoto, ziende, ziende, zipande mlima Oldonyo Lengai, ziende, ziende, zikimkuta Mama Yoyo zimkumbatie zimwambie Yoo mama Yoyo, miii iko tumwa na TANMO, yeye nataka wewe umbusu ati.. Halafu zirudi

Ujumbe nawaambia watanzania tuache kubip, angalau tutume meseji..

Asanteni sana.
 
Last edited by a moderator:
Salamu zangu za dhati ziwafikie bagah, erickb52, msolid1990, bishanga, judgement, saint ivuga, mtambuzi, nicas mtei, junior cux, ruhazwe jr. Na ........ Lizzy, kongosho, firstlady, charminglady, sweetlady, ummu kulthum, mammamia, madame b, na wapenzi wote wa jf chitchat ujumbe hii ni wiki mbaya kwa cantalisia coz mumewe rejao kala ban ya 5days!
Asante sana SALOK,salam zimefika japo sio wiki mbaya kivile maana kiuhalisia Rejao wangu naye hapa ndio tumepumzika baada ya kupeana cha asubuhi so tuna miss kiJF JF tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Orait,salam zangu za kwanza nimfikie mme wangu kipenzi Rejao akiwa hapa pembeni yangu,mwaaaaa darling wangu,

Bila kuwa sahau mashemeji zangu wapendwa Kaizer Erickb52 BAGAH Nicas Mtei Judgement,

Maswahiba wangu Mphamvu SALOK sobhuza TANMO MUSSOLIN,@Exellent EMT,klorokwini@uporoto1,Mr Rock Fidel80 The Finest kashengo na wengine wote wa chit chat na MMU,

Mababu Asprin Darkcity Bishanga na baba yangu Mtambuzi,

Madada na mawifi @Ashadii KING'ast sweetylady FirstLady Preta Mamndenyi kipipi Smile Kongosho Kaunga Kabakabana BADILI TABIA charminglady qeenkami Zinduna na wengine wooooooooooooooooooooooote
 
Last edited by a moderator:
salamu zangu ziwafikie wana uamsho wote waliopo Mwanakwerekwe, Mchambawima, Kibanda maiti, Mferejini

du bila kuwasahau wapenda amani wasiokuwa na uchochezi,udhulumati,uhaini,wapenda haki na usawa pasipokuangalia dini,umri wala jinsia.

Na walaaniwe wote wanyonyaji,wabaguzi,watoa uhai wenzao
 
Salamu zangu ziwafikie wana Jf woote mnaopenda kujirusha kwenye ma-Club,
Kwani Club Billicanas na Maisha Club zitageuzwa Lodge kuanzia tar 17/05/2012.
Source:ap french

umenikata andasi ghafla, embu niambie club nyingine nzuri ili nikiwa nakuja bongo nisipate shida
 
Orait,salam zangu za kwanza nimfikie mme wangu kipenzi Rejao akiwa hapa pembeni yangu,mwaaaaa darling wangu,

Bila kuwa sahau mashemeji zangu wapendwa Kaizer Erickb52 BAGAH Nicas Mtei Judgement,

Maswahiba wangu Mphamvu SALOK sobhuza TANMO MUSSOLIN,@Exellent EMT,klorokwini@uporoto1,Mr Rock Fidel80 The Finest kashengo na wengine wote wa chit chat na MMU,

Mababu Asprin Darkcity Bishanga na baba yangu Mtambuzi,

Madada na mawifi @Ashadii KING'ast sweetylady FirstLady Preta Mamndenyi kipipi Smile Kongosho Kaunga Kabakabana BADILI TABIA charminglady qeenkami Zinduna na wengine wooooooooooooooooooooooote
Oh my darling sweet mjukuu Cantalisia, nimezipokea salamu zako kwa upendo. Hebu come this way......... weekend hii ntakununulia pipi tamu.
 
Last edited by a moderator:
Mkononi mwangu nina kadi ya CHIT CHAT SALAAM CLUB, kwa pamoja wanatuma salamu kwa wanachama wote wa JF..ujumbe:...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom