Mods anzisheni jukwaa la salamu

Napenda kurudisha salamu nyingi kama mchanga wa bahari kwa wale wote walionitumia salamu ambao si wengine bali ni BAK, Erickb52, Cantalisia aka Mrs Salvadozi na wengine; pia naomba kuvurumisha salaam kwa wana MMU wote, wadada na wakaka, wana Chit chat wote na hata wale wa ukubwani.

Ujumbe
Tukumbukana kwa salaaamuuuuu!
 
Last edited by a moderator:
asante Cantalisia

ujumbe: salamu nusu ya kuonana....




Orait,salam zangu za kwanza nimfikie mme wangu kipenzi Rejao akiwa hapa pembeni yangu,mwaaaaa darling wangu,

Bila kuwa sahau mashemeji zangu wapendwa Kaizer Erickb52 BAGAH Nicas Mtei Judgement,

Maswahiba wangu Mphamvu SALOK sobhuza TANMO MUSSOLIN,@Exellent EMT,klorokwini@uporoto1,Mr Rock Fidel80 The Finest kashengo na wengine wote wa chit chat na MMU,

Mababu Asprin Darkcity Bishanga na baba yangu Mtambuzi,

Madada na mawifi @Ashadii KING'ast sweetylady FirstLady Preta Mamndenyi kipipi Smile Kongosho Kaunga Kabakabana BADILI TABIA charminglady qeenkami Zinduna na wengine wooooooooooooooooooooooote
 
Last edited by a moderator:
Barr-abara kabisa salamu za alasiri ziwafikie wafuatao: mkongwe Msolid1990, Mwali, Kongosho, Erickb52, AshaDii, Kaunga, BADILI TABIA, Lizzy, kiranja tamNO na Erotica popooote pale walipo.

Napenda pia kutuma salamu za dhati kabisa kwa Rejao na mwandani wake Cantalisia, Boflo, Nicas Mtei, Yummy, sweetlady, charminglady, Ndahani, FirstLady1, Dark City, Preta, Smile, Kabakabana na Zinduna poopte pale walipo.

Pia salamu za pkee ziwafikie klorokwini na fellow tablet wake Asprin bila kumsahau daktari MziziMkavu wote wakiwa kituo kidogo cha afya Edaru.

Mwisho kabisa bila kuwasahau wana Chitchat woooooote na Mamod Paw, Cookie, RussianRoulette.

Ujumbe ni kwamba JF ndio nusu ya kuonana.
 
Last edited by a moderator:
Napenda kurudisha salamu nyingi kama mchanga wa bahari kwa wale wote walionitumia salamu ambao si wengine bali ni BAK, Erickb52, Cantalisia aka Mrs Salvadozi na wengine; pia naomba kuvurumisha salaam kwa wana MMU wote, wadada na wakaka, wana Chit chat wote na hata wale wa ukubwani.

Ujumbe
Tukumbukana kwa salaaamuuuuu!

Lol Kaunga salamu tunazipokea kwa mikono miwili.....Naomba wasalimie wana MMU wote....waambie nawakaribisha sana Chit Chat
 
Last edited by a moderator:
Nimepokea salamu kwa mikono miwili, nashukuru sana EMT kwa kunikumbuka.....
Ujumbe: Tuzidi kukumbukana
 
Last edited by a moderator:
Asante sana shem wangu wa ukwe'ee Erickb52,salam zimefika japo folen imezichelewesha lol!
Naomba salam zangu umfikishie shost wangu Amyner hapo pemben yako!
Shem wangu usijali Amyner hajambo...ana raha sana kunikuta mzima.....Vipi nasikia Rejao kaenda likizo ya siku tano...hujaambatana nae?
Salamu zangu maalumu kwake please usisahau Cantalisia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom