Polisi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,082
- 640
Wakuu
Moderm (Airtel) imeanza kuniambia 'there is no disk in the drive. please insert a disk into drive/Device/harddisk1/DR5' kila ninapochomeka moderm. Ilianza na flash na sasa moderm nayo inafanya hivyo. Natumia min laptop, acer windows 7
1. Tatizo ni laptop au hizi flash/moderm?
2. Moderm inaweza kuwa na virus?
3. Nimeshindwa kuweka anti - virus katika laptop maana ina RAM 500 hivyo kila niki install anti - virus (za kudownload
free/trial) laptop inakuwa slow sana na niki uninstall inarudi katika hali ya kawaida. Anti - virus gani inafaa kwa laptop
ndogo?
Naombeni msaada wakuu maana kazi zinakwama. Nimejaribu ku google nimeshindwa kupata jibu