Modem za airtel!

kaeso

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
551
96
Heshima wakuu! Naomba utaalamu wa namna ya kujua salio la kifurushi na namna ya kununua kifurushi nikiwa nimeunganisha modem kwenye laptop. Kwa sasa hadi nitoe laini niweke kwenye simu ndio naweza kuangalia salio na kununua kifurushi.
 
Mi huwa naiwekea salio kupitia AIRTEL MONEY. Au unaweza ukai-ME TO YOU. Au ukairushia salio toka kwa muuzaji yeyote wa vocha.
 
Sasa ni namna gani ya kununua kifurushi au mkuu wewe huwa hununui kifurushi??
 
yea,kurecharge ni lazima utoe laini bt kuuliza salio si unaenda pale kwenye sehem ya msg una opt new sms then unaandika neno salio to 15444.ukipata msg lazima ufungue optn ya inbox ndio usome otherwise huwezi.wajuzi watufahamishe namna ya ku rechage bila kutoa line
 
nenda kwny option ya help then fungua function yapo maelezo kibao angalia unachokitaka
 
yea,kurecharge ni lazima utoe laini bt kuuliza salio si unaenda pale kwenye sehem ya msg una opt new sms then unaandika neno salio to 15444.ukipata msg lazima ufungue optn ya inbox ndio usome otherwise huwezi.wajuzi watufahamishe namna ya ku rechage bila kutoa line

Asante hata mimi nimefaidika. Nadhani hata kurecharge itakuwa namna hiyo!
 
Heshima wakuu! Naomba utaalamu wa namna ya kujua salio la kifurushi na namna ya kununua kifurushi nikiwa nimeunganisha modem kwenye laptop. Kwa sasa hadi nitoe laini niweke kwenye simu ndio naweza kuangalia salio na kununua kifurushi.

Kwa airtel modem aina ya HUAWEI 153, ni very simple. Unatakiwa utumie default dashboard ya hiyo modem. Ukifungua hiyo dashboard kuna functions zifuatazo: CONNECTION, STATISTICS, TEXT,PHONEBOOK AND AIRTEL MENU. Sasa hapo chagua AIRTEL MENU, the ikishafunguka kwenye sehemu ya "enter command code ...., hapo sasa unaweza kufanya kila kitu, kucheck salio la muda wa maongezi piga *102# then click send. Ukitaka ku-recharge, kama kawaida piga *104*.....weka namba za vocha. Further more, kuomba kifurushi, nenda kwenye menu TEXT, tafuta sehemu ya new sms, tuma neno internet kwenda 15444 for 400MB package etc.
 
yea,kurecharge ni lazima utoe laini bt kuuliza salio si unaenda pale kwenye sehem ya msg una opt new sms then unaandika neno salio to 15444.ukipata msg lazima ufungue optn ya inbox ndio usome otherwise huwezi.wajuzi watufahamishe namna ya ku rechage bila kutoa line

Sio lazima kutoa line. Inategemea ni modem aina gani uliyonayo. Most of default dashboard za modem zinakupa options zote za kurecharge, kucheck balance,kupurchase bundles etc. Ingawa option ya ku-call iko limited to most of these latest modems.
 
Back
Top Bottom