Modem za airtel mbona zinafunguka polepole hasa inapowaka rangi ya kijani

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,370
11,090
Wakuu nisaidieni kunijuza, natumia USB Stick ya HUAWEI ya Zain (airtel) na nina line 2 (sim-card) niliyoanza nayo ilikuwa modem inawaka rangi ya bluu 3G sasa hivi imepotea natumia ingine imewaka kijani 2G (speed 236.8 kbps) ina-such slowly sana na inabidi nivizie usiku ndipo napoweza kuipata Jamii Forum.Nimefika ofisi zao nikawaomba wanibadilishie nirudi kwenye rangi ya bluu yenye speed kubwa wamesema zote zipo sawa.
Sina hamu tena nisaidie nihamie wapi tena kwenye mtandao wa kasi ?
Kuchakachua (un-lock) mlishanipa no za siri NASHUKURU sijahama / SIJASHUGHULIKIA bado naomba ushauri wa kitaalam
 
hiyo line unayotumia sasa inaonekana haiko compatible na WCDMA/HSDPA networks ambazo ndo zpo faster. Line Unayotumia nw inaonekana kusuport EDGE ntwk. Pia inawezekana coverage ya ntwk eneo ulilopo ni EDGE thts y unaexperience hvo.
 
Hivi kuna line ambazo hazisupport WCDMA/HSDPA? Sina uhakika, lakini nadhani shida kubwa ni network ya sehemu aliyopo ambayo inaruhusu mawimbi ya EDGE na sio HSDPA.
 
yap nshaprove hlo, kuna baadh ya line ambazo huwa hazjatengenezwa kumatch with wcdma/hsdpa. Ukichunguza line za zaman za zain ndo zna hsdpa za cku hz mpaka wakupe wenyewe zenye spec hizo. Nlikuwa na line 2 moja ya zaman na nyngn mpya. Nk2mia ya zaman napata wcdma, mpya cpat ingawa nlkuwa npo eneo hlo hlo
 
Waungwana hebu nipeni darasa kidogo kuhusu WCDMA/HSDPA inavyoendana na 2g 3g, 3.5g, na hii edge inakuwaje?
 
yap nshaprove hlo, kuna baadh ya line ambazo huwa hazjatengenezwa kumatch with wcdma/hsdpa. Ukichunguza line za zaman za zain ndo zna hsdpa za cku hz mpaka wakupe wenyewe zenye spec hizo. Nlikuwa na line 2 moja ya zaman na nyngn mpya. Nk2mia ya zaman napata wcdma, mpya cpat ingawa nlkuwa npo eneo hlo hlo
Kaka nakubaliana na ww kabisa, kwani leo nimejaribu line ingine imekubali kwa WCDMA/HSDPA
wali lingine nilitaka kujua speed ni sawa kwa 2G, 3G au 3G+ au zina maana gani
asanteni
 
Na mimi ni hivyo hivyo ingawa wengi hawaamini hivyo laini za sasa mpya zinasapoti 2g yaani edge za zamani ndio zinasapot 3g yaani hsdpa nina uhakika na hilo kwa kuwa ndio naitumia sasa hivi.
 
No ni maeneo yote yana 3g coz mi nakaa nje kabisa ya Dar lakini napata 3g km kawa.
 
Hivi kuna line ambazo hazisupport WCDMA/HSDPA? Sina uhakika, lakini nadhani shida kubwa ni network ya sehemu aliyopo ambayo inaruhusu mawimbi ya EDGE na sio HSDPA.

hlo lako ni sawa, hatujakataa ila line pia inachangia kwa namna nyngne. Kwan unataka sema kama nabadilisha hzo line nkiwa eneo hlohlo inamaana ntwk imebadilika.? Mi nshainvestigate hili na sg mara 1 imentoke.
 
No ni maeneo yote yana 3g coz mi nakaa nje kabisa ya Dar lakini napata 3g km kawa.
Lakini mbona wenyewe watoa hiyo huduma (ISP) wanataja maeneo maalum ndio mtu anaweza kupata 3g!.

wataalam, nadhani iko haja yakutuwekea wazi hili jambo, kabla hatujaanza kuzitafuta hizo line za zamani.
 
Na mimi ni hivyo hivyo ingawa wengi hawaamini hivyo laini za sasa mpya zinasapoti 2g yaani edge za zamani ndio zinasapot 3g yaani hsdpa nina uhakika na hilo kwa kuwa ndio naitumia sasa hivi.

Mkuu hebu nisaidie, za sasa ni zipi na za zamani ni zipi?
 
Lakini mbona wenyewe watoa hiyo huduma (ISP) wanataja maeneo maalum ndio mtu anaweza kupata 3g!.

wataalam, nadhani iko haja yakutuwekea wazi hili jambo, kabla hatujaanza kuzitafuta hizo line za zamani.

ckia, kuna factor 2. Kwanza ni ntwk coverage ktk eneo ulilopo,pili ni line unayotumia. Inaweza tokea kwamba ktk eneo ulilopo kuna wcdma coverage but ushpate wcdma kutokana na line unayotumia. Na pia inawezekana ukawa na line inayosuport wcdma but coverage ya tower inayokuservice isiwe ya wcdma napo pia hutopata wcdma.
 
halafu hilo la kusema wamespecify maeneo ni kweli in theoretical point. But in reality vitu haviend hvo. Propagation ya electromagnetic wave inategemea conductivity ya media inayopita. Halaf mechanism ya mobile phone n kwamba huwa inareceive many signals toka minara mbalimbali but huwa inachagua signal ipi ni strong among those na ndo ambayo inairun cmu yako. So inaweza tokea ukawepo let say eneo X but mnara wa eneo X usikuhudumie na ukahudumiwa na mnara wa eneo Y due to its signal strength na kama mnara Y unasuport wcdma hakika nawe utapata wcdma.
 
Back
Top Bottom