Mochwari: Chimbo muhimu la wachawi na waganga

hile ni kazi kama zilivyo kazi nyingine tu ....kazi yeyote lazima iwe na changamoto ata ya yule muuza majeneza au ya mtengeneza majeneza ata ya muuza sanda, au askari maana nao n wabebaji mizoga muda mwingine ata dereva wa ambulance zote n kazi zenye changamoto sana mara ya kwanza utaiyona n ngumu sana lakini baadae unaizoea na kuiona kama kaz nyingine na uzuri wake unakuwa haupo peke yako ata kama ni shift so n kuvaa ujasiri tu na kuhusu uchawi mmmh upo lakini kwa vijijini kwa mjini sijawahi sikia.
 
Don't underestimate this job man! Ni tofauti kabisa na ualimu ama ukatibu muhtasi.... Hapa unadili na wafu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu chochote Mochwari, nimefanya kazi huko miaka kadhaa

Imani tu na assumption kibao ndio kama hizi zinazoenezwa watu wanaendelea kupotoshana.

MTU AKIFA ANAKUA KAMA TOFALI TU hakuna kitu
 
Kuna huyu rafiki yangu ni mvhezaji mpira wa timu ya mkoa fulan (kwenye mabano) mara nyingi huitwa na kulipwa kucheza ndondo, sasa amekua ananisimulia namna ambavyo wamekua usiku wa manane wanaenda kuoga na maji ya maiti masaa kadhaa kabla ya mechi ya kesho yake... So maji ya maiti yana dili sana

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndio ninapochoshwa na soka la bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi hufia mochwari na wengine huzikwa wakiwa bado hai hasa ile tabia ya kuzika harakahara pale mtu anapokufa au kuwahisha mwili mochwari kwenye jokofu. Daktari anapima na kusema kashakufa wakati mwingine hukosea. Nilimpoteza nduguyangu kwa uzembe huu huu. R.I.P bro. Pia kuna kisa cha mama mmoja mwanae alikuwa anapelekwa mochwari baada ya daktari kumpima na kusema kweli ameshakufa. Mama akakataa akabaki kakumbatia katoto kake analia kwa uchungu. Haikupita masaa mawili, mtoto akajigusa na alipopimwa tena na doctor mwingine ikagundulika yupo hai. Hadi leo ni binti mkubwa tuu.
Hii ishu kw akweli hutokea sana tena sanaaaaa yaani kuna watu hufia rasmi akiwa kaburini, nina wasiwasi mkubwa sana na jinsi madaktari wanavyopima aseee.

Sijawahi kuogopa movie, lakini hadi leo hii naogopa movie ya After Death, Liam ndio kacheza na hamna sijui madamu damu wala nini maneno tuuu ile movie naipenda kuifuta nogopa kuirudia naogopa iko iko tuuuu
 
Nadhani ni After life mkuu
 
Nadhani ni After life mkuu
True mkuu, After Life, daaaaaah balaaa.

Naweza kuangalia Final Destination zote na nikapata usigizi mzuri tuuu, ila After Life khaaaaa, only once na sitakiiii kurudia and the funny thing is I like it.
 
The End6.jpg
 
Back
Top Bottom