macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 22,123
- 40,273
Kuna hili. Kufunga bila kula wala kunywa chochote vs kufunga kula lakini unakunywa au kuwekewa drip. Kufunga bila kula wala kunywa wala kuwekewa drip, hili linakuondosha kwa muda mfupi zaidi. Muda unategema na ''ntu na ntu'', mazingara uliyopo na activies unazofanya. Kuna wanaochukuwa kuanzia siku 7 mpaka 20 + hivi.Binafsi nimeshawahi shuhudia Bibi yangu Mlokole alikuwa anafunga mpaka siku 7 bila kula.